Braza Mke wako mzuri

Watu sijui hamuelewi........
Binadamu wote tumelingana........kutoka kiunoni kwenda chini......kwingine urembo tu.........
Umesema opposite. Ni kuwa tangu kichawani hadi kiunono tunalingana, tatizo ni urefu au ufupi wa miguu
 
Hamna kitu hapo ni joho tu na make-ups.

Acha wivu. Kwa tunayemjua huyo mtoto ni beauty tangia mdogo. Mtoto wa Mama Abdala aliyekuwa afisa utumishi mkuu wa mahakama kuu. Mtoo amepiga degree yake ya sheria pale mlimani na hana wasiwasi na maisha. Kwenye urembo mpeni credits zake. Kaka kachagua!
 
Kwa hili I salute Riz 1. Hapo ulichagua kitu cha ukweli
 
ungeweka neno la tahadhari,riz si wakutazamwa
 
Handsome,mke wake mzuri,ana pesa,baba yake rais,halafu ukute na peponi anaingia,goosh some people are just blessed
 
..the girl is cute...
..mkaka si mbaya.
They are rich!
Gosh i hope they are happy too.
 
Handsome,mke wake mzuri,ana pesa,baba yake rais,halafu ukute na peponi anaingia,goosh some people are just blessed
Red- naomba nikuhakikishie kuwa ukiwa na maisha mazuri hapa duniani, ujue utatesa sana peponi. Kumbuka maandishi yenu nabii Issa alivyomweleza Petro wakati akimpa ufunguo.
 
AINA ZA HUSBAND
1. Bachelor Husband - Huyu hajali
familia yeye na marafiki na
kushinda nje ya nyumba yake
2. Acidic Husband - Huyu ni mkali
kwa kila jambo hata jambo liwe
dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda
mbele
3. Slave Husband - Huyu anataka
umnyenyekee kama mfalme yaana
ni kama Mungu mtu
4. General Husband - Huyu ni
kiwembe aka anawanawake wengi
kupita maelezo
5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo
akitoa pesa ya matumizi anataka
kujua hadi shilingi moja
imetumikaje
6. Asprin Husband - Huyu anataka
shida zake zote mkewe ndo
azitatue hata kama yeye mwenyewe
ana uwezo
7. Parasite Husband - Huyu ni
tegemezi aka Marioo
8. Baby Husband - Huyu hana
maamuzi binafsi uamuzi wake
hupewa na wazazi ndo aje afanye
maamuzi kwa mkewe
9. Visiting Husband - Huyu hataki
kujua familia imeshindaje, inaishije,
wanakulaje kulala nje kama kawa
hata siku tatu
10. Caring Husband - Huyu ni
mwenye kujali familia na kuitunza
kwa kila jambo
WW uPO KUNDI LIPI??
 
Hawaendani kabisa! Huyo dada yuko matawi ya juu sana, hajapendeza kuwa na huyo rz1 anaonekana mzee zee.
 
Handsome,mke wake mzuri,ana pesa,baba yake rais,halafu ukute na peponi anaingia,goosh some people are just blessed

Peponi wapi?like father like son,mafisadi hawaingii kwenye pepo,ila wanaingiliwa na mapepo.
 
Watu sijui hamuelewi........
Binadamu wote tumelingana........kutoka kiunoni kwenda chini......kwingine urembo tu.........
Usijali mamaa hata wewe ni bomba kuliko huyo...Tatizo hajajua huyo chalii anamilisha hela za kifisadi tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…