Bravo January Makamba hili la mifuko umeweza

Hii sheria ya kupigwa marufuku mifuko ya plastic ilianzishwa tangu mwaka 2004,isipokuwa ilikua haizingatiwi tu

Sio Makamba ndio kaianzisha tuseme Makamba ndio kaihamasisha izingatiwe[emoji1321]‍♂️
 
Huku niliko pia sijaona mfuko wa plastiki kabisa

Iko ile nyuzi nyuzi
 
Mimi mwenyewe nimeacha kutumia mifuko ya Plastiki kitambo sasa.
 
Umetumika ushawishi na elimu zaidi kuliko ubabe, hapa serikali nzima ipate somo kuwa kwenye maamuzi makubwa ya Kitaifa elimu inahitajika zaidi kuliko ubabe na vitisho...
Msisahau oia watu wameanza kuelemika na swala la mifuko linawakera watu wengi na haiba ya january ina mchamgo mkubwa si mtu wa mifisa kama yule jamaa.... haa walimpa ofisi wakadhani atashindwa
 
Natabiri maximum ya miezi sita or less kabla ya serikari kufanya u-turn kwenye hii decision
 
Una bahati mbaya ya kuwa mwanamke mweusi, hivyo hizi jitihada za kumsifu JIWE ni kama unajisumbua!
Of course yes!

Ukali wa Magufuli unasaidia viamari vya mawaziri kusimamiwa ipasavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…