jem the great
Member
- May 25, 2013
- 44
- 11
N mchezo uliosubiriwa kwa mda mrefu sana na hatimaye yametia.je nan unampa ubingwa kat yao siku ya jumapili?
mi nimesikia final itakuwa saa 7 usiku kwa saa za tzSuper sport 7 na 3. Saa 10 usiku kwa TZ.
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
mi nimesikia final itakuwa saa 7 usiku kwa saa za tz
Haha hahahahaa tehe tehe, kama bosi wako anapenda soka inabidi mtafute kijiwe muwe mnaangalia wote, mkiwa wote hadi night kali hawezi kukufukuza kazi.Kama na WC masaa yatakuwa haya,wengi tutapoteza ajira zetu.....
Kweli tutaathirika sana na huu muda.Kama na WC masaa yatakuwa haya,wengi tutapoteza ajira zetu.....
Haha hahahahaa tehe tehe, kama bosi wako anapenda soka inabidi mtafute kijiwe muwe mnaangalia wote, mkiwa wote hadi night kali hawezi kukufukuza kazi.