Brand New Watches For sale.Casio and Georgio Arman.

SUNGUSIA

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
232
16
Saa hizi ziko sokoni ni Mpya kabisa Imported from Japan ni casio Brand. and Georgio Arman.

Moja ni ya Kiume na nyingine ni ya kike Bei ni laki 300,000 Tshs. for each.

for more details please email: watchesandmobile@gmail.com

IMG-20120612-00172.jpg IMG-20120612-00171.jpg IMG-20120612-00177.jpg IMG-20120612-00178.jpg Edited.jpg
 
Duu nilishaacha kuvaa saa sijui toka mwaka gani, nadhani toka nilipoanza kumiliki simu zinazoonyesha wakati.
 
Duu nilishaacha kuvaa saa sijui toka mwaka gani, nadhani toka nilipoanza kumiliki simu zinazoonyesha wakati.

Usidanganyike ndugu yangu, saa ya maana ni muhimu sana kwa mwanaume; ni sawa na suti nyeusi, unatakiwa uwe nayo japo hata moja!
 
Nakubaliana na wewe mkuu mwanaume lazima uwe na saa moja ya maana ni kama unakuta jamaa kavaa nguo fresh kapendeza na mkanda umechanika au matundu yamekatika katika aibu sana.

usidanganyike ndugu yangu, saa ya maana ni muhimu sana kwa mwanaume; ni sawa na suti nyeusi, unatakiwa uwe nayo japo hata moja!
 
Nakubaliana na wewe mkuu mwanaume lazima uwe na saa moja ya maana ni kama unakuta jamaa kavaa nguo fresh kapendeza na mkanda umechanika au matundu yamekatika katika aibu sana.

Ha ha haaa!!!! Umenichekesha Mkuu! By the way, CASIO Brand ni saa madhubuti sana ninayo moja nadunda nayo toka 2002. Hako ka price hakapungui mkuu?
 
mhh Saa, Fashion yake kwishney,

Fikiria tena mkuu! Au labda inategemea na mazingira unayofanyakazi! One or two excelent dress watches ni muhimu SSANA kwa mwanaume! kuna wakati ni lazima uonekane formal, kukaa unatoa lisimu na kuchungulia muda is soo UNPROFESSIONAL! Anyway inategemea we ni nani!
 
Kaka kanapungua wewe tuu naweza kupa bei nzuri sana kama uko serious nicheki jirani tufanye biashara huwa nazileta nyingi na brand ni casio na georgio Arman, siunajua ni katika kutafuta chochote kitu.

we ni cheki tutaongea kaka. bei isiwe issue kama umeipenda.

Usidanganyike ndugu yangu, saa ya maana ni muhimu sana kwa mwanaume; ni sawa na suti nyeusi, unatakiwa uwe nayo japo hata moja!
 
Back
Top Bottom