Brand new house for SALE!!!

Seif Chichiry

Member
Jan 22, 2013
6
0
Nyumba mpya na yakisasa, ipo kwenye mazingira mazuri kabisa. Ipo tabata segerea chama, surveyed area with a title deed. Its only 200mil negotiable Tango27982.jpg . If your interested give me a call +255 785 115 999
 
Tango27986.jpg Tango27987.jpg Tango27984.jpg Tango27985.jpg Tango27990.jpg Tango27991.jpg Tango27992.jpg Tango27993.jpg Tango27983.jpg
It has three bed rooms, in which one of the rooms is a master bed room and the other one is a self contained room. It has big dinning room and living room, also a big kitchen and store.
 
View attachment 111084It has three bed rooms, two of them are master bed rooms, living room kubwa, dinning room kubwa.

Kwasisi tuliopitia Ujenzi, naona kama haupo serious sana, Nimeipenda pia hiyo 'washing Basin' kwani ndo nimetumia kama sample ya ku-judge level ya materials zilizotumika kujenga hiyo nyumba. Kumbuka hakuna Nyumba yenye Master bed room zaidi ya moja au ulitaka kumaanisha hivyo vyumba ni self Contained? Mimi nipo tayari kukutafutia M85 tu zaidi ya hapo endelea kusikilizia watu wengine
 
Wash basin ya gharama na quality unaweza kupata kwa laki5, sasa unataka kumpunguza mtu mil 115 kwa sababu ya washbasin? Ofcourse material yaliyofanyiwa finishing ni ya gharama ndogo kidogo, ila angalia huo mtaa kama unaona vizuri, Ukuta tu ni kama 12m kuujenga, paving blocks hapo na garden atakuwa katumia si chini ya 8m, bati ya juu hiyo ni kama 6m paa zima, milango nyumba nzima ni kama 4-6 depending na aina ya mbao,gypsum, PVC na ufundi wake unafika 4-6m depending na type ya board alizotumia.... floor tiles hata kama kanunua za elf 20 kwa sqmtr haitopungua 4m kwa nyumba nzima (pamoja na ufundi), madirisha na grill zake nadhani inafika kwenye 7m hv, geti na kipaa chake ni kama 1.5-2m....sasa kama kweli wewe ni mjenzi na unaona unaweza kubit hiyo price nenda kajenge yako, acha kejeli... Sijagusia gharama ya kiwanja hapo....
Jamaa yuko reasonable sana, sema kwa 200 kidogo parefu, ila im sure mwenye kuanzia 130 anaweza kusikilizwa.
NB: Simjui muuzaji wala nini, ni uzoefu tu wa ujenzi na maeneo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom