Anfaal
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 1,154
- 118

Nauza brand New DELL laptop. Laptop hii haijatumika kabisa na ina warrant. Maelezo ya kiitaalamu ya hii laptop ni kama ifuatavyo;

Brand: DELL INSPIRON

Model: N4010

Display Size: 14 inches

Maximum Resolution: 1366x768

Processor Model: 350M

Processor Speed: 2270 MHz

Installed Memory : 4 GB

Hard Drive Type: Hard Disk Drive

Total HD Size: 500 GB

Hard Drive Speed: 5400 RPM

Graphic Type : Discrete

Discreet Graphics Chipset Model : Mobility Radeon HD 5470

Graphic Memory : 1024 MB

Kwa yeyote anayehitaji anaweza kuni PM. Bei ni Tshs. 1,650,000.

Sababu za kuiuza : Kuna mtu aliniomba nimnunulie nimletee lakini baada ya kuileta anataka eti awe ananilipa kidogo kidogo, nikashtuka, nikajiona kwamba sasa naingizwa mjini!!!

Tiba

tiba unajua bongo vimejaa vilaptop vya laki 6 hadi 8. Tena wengine wanauziwa netbook wanadhani laptop. Wakati nafika bongo nilishangaa kuona laptop bei rahisi kuliko nilipotoka baadae nikagundua wanapigwa na refurbrished bila kuambiwa. Pia ukidumu nayo mwaka mmoja bila matatizo unamshukuru Mungu