Brand new dell laptop for sale

Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,604
3,163
Nauza brand New DELL laptop. Laptop hii haijatumika kabisa na ina warrant. Maelezo ya kiitaalamu ya hii laptop ni kama ifuatavyo;

Brand: DELL INSPIRON
Model: N4010
Display Size: 14 inches
Maximum Resolution: 1366x768
Processor Model: 350M
Processor Speed: 2270 MHz
Installed Memory : 4 GB
Hard Drive Type: Hard Disk Drive
Total HD Size: 500 GB
Hard Drive Speed: 5400 RPM
Graphic Type : Discrete
Discreet Graphics Chipset Model : Mobility Radeon HD 5470
Graphic Memory : 1024 MB

Kwa yeyote anayehitaji anaweza kuni PM. Bei ni Tshs. 1,650,000.

Sababu za kuiuza : Kuna mtu aliniomba nimnunulie nimletee lakini baada ya kuileta anataka eti awe ananilipa kidogo kidogo, nikashtuka, nikajiona kwamba sasa naingizwa mjini!!!

Tiba
 
Mkuu kama una website ya wakazi wa masaki nenda kapost ili tangazo, lakini hapa kwa wengi kwa hiyo bei ni uchuro.
 
Mkuu kama una website ya wakazi wa masaki nenda kapost ili tangazo, lakini hapa kwa wengi kwa hiyo bei ni uchuro.

Mkuu laiti ungekwenda kwanza kwenye maduka ya computer/laptop hapa Dar ukaangalia bei za laptop ambazo ni inferior kwa hii hapa ungegundua kwamba ninaiuza kwa bei rahisi sana!!! Hata hivyo sijaifungia shingoni kwa mtu na kumlazimisha kuinunua, ni utashi wa mtu!!!

Tiba
 
Bei siyo mbaya maana ni kama USD 1100 wakazi "Made in China" ni kati ya USD 700 - 900. Kitu kinachokosekana hujasema hii Computer imetengenezewa wapi maana kama ni china hiyo bei iko juu lakini kama ni USA ni reasonable
 
Touch screen?web camera?finger recognition?processor ipi intel or?
 
Bei siyo mbaya maana ni kama USD 1100 wakazi "Made in China" ni kati ya USD 700 - 900. Kitu kinachokosekana hujasema hii Computer imetengenezewa wapi maana kama ni china hiyo bei iko juu lakini kama ni USA ni reasonable

Mkuu, hii laptop nimeinunua marekani (Jimbo la California) na imetengezwa marekani.

Cheers,

Tiba
 
Dahhh' mkuu hiyo bei mbona balaa, mimi binafsi nimenunua Dell latitude e6410 mpya yenye Intel core i5 kwa $690 mwaka jana CompUSA na ina 500GB tena 2.4GHz na warranty juu!!punguza bei mkuu lasiivyo wabongo wataususa mzigo, ni ushauri tu.....:israel::israel:
 
Asante kwa ushauri. Kwa hiyo kwa mwaka jana hiyo laptop yako thamani yake ni Tshs. 1,050,000. Vipi ungekuwa umeinunua mwaka huu?

Anyway nakushukuru kwa ushauri mzuri!!!!!

Tiba
 
nahisi bei iko juu. similar product toshiba i3 inauzwa dola 900

Mkuu inawezekana unayosema ikawa kweli lakini kumbuka USD 900 ni karibu sawa na Tshs. 1,400,000 kwa sasa!!!!!

Tiba
 
Bei siyo mbaya maana ni kama USD 1100 wakazi "Made in China" ni kati ya USD 700 - 900. Kitu kinachokosekana hujasema hii Computer imetengenezewa wapi maana kama ni china hiyo bei iko juu lakini kama ni USA ni reasonable

Hivi mbona mnakuwa na negative attitude towardsa China jamani waTZ? unaweza kushangaa hiyohiyo ya USA made in China, msiwe na negative attitude please mngekuwa huku ndo mngejua undani wa China.
 
Mkuu, hii laptop nimeinunua marekani (Jimbo la California) na imetengezwa marekani.

Cheers,

Tiba

Hata kama ingekuwa ya China wewe twanga bei hiyohiyo tu Tiba, watu wanasema tu product za China mbaya mara fake lakini ukweli ni kwamba China wanatengeza product according to the purchasing power ya mtu, wanaproduct nzuri sana lakini ni kwamba the higher quality the higher price, sasa wabongo wanakurupuka tu na kuanza kudharau bidhaa za china tengenezeni zenu basi tuzione.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom