baraka607
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 844
- 168
Sawa kaka, naomba uniPM namba yako.
Mkuu tuachane na ile ya 5600mAh ambayo ina.last for 3days.naitaka hii ya 13000mAh ambayo ntakaa nayo kwa siku 10 bila kucharg
Ha ha ha, i knew it kwamba utabadili mawazo tu. Hii kitu hata mimi naitumia ni balaaaa. Haya dada angu ntakuletea ofisin hapo.