Brand bora za flash na memory card

Next time usinisahau kiongozi. Utakayohisi inanifaa.
 
Vitu vya kkoo ni poor quality all the time.
 
Wakuu brand nzuri ya External disc ni ipi viongozi ili nisije kuingizwa chama mjini. Nina utaalam wa masuala ya HR ila katika masuala ya technology bado ni layman.
 
nilikuwa sijui kuna flash fake majuzi hapa nilinunua flash ya San Disk 4GB, nafungua kasha vizuri kuchomeka kwenye PC iko free 2GB ndani kuna nyimbo za diamond. ikabidi niirudishe tu ila nashindwa kuelewa inakuwaje flash mpya ila ilishatumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…