enny mchuz
Member
- Feb 23, 2013
- 33
- 1
Jaman naomba kuuliza kazi ya brand ambassador inakuwaje,na yeye anaingia Kitaa kutafuta wateja au?
Waweza japo kunipa mbali yanayoulizwa kwenye interview maana kesho nina hyo interview kwenye non profit enterprises fulanNimewah fanya hiyo kazi kwa muda fulani,mizunguko mingi bt kwa kampuni nlofanyia sikuwa naingia mitaani kutafta wateja