Braces kwa watoto meno yameparaganyika!!!!!!!!1

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,009
2,000
Tafadhali, mtoto wangu tena wa kike meno yake yameota bila mpangilio na ni meno ya mbele (ya chini). kama kuna mtu anajua wapi naweza kumwekea braces kwa hapa tz kwa dsm au mikoani, na kama kuna watu wenye uzoefu garama zake pia. asanteni sana.
What%20Color%20Braces%20will%20Make%20Teeth%20Look%20White.jpg
 
platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
8,807
2,000
Mpeleke smile dentist wapo Posta, mkabala na Citi Bank. Unapita pembeni ya Holiday inn Hotel. Wapo mkono wa kushoto
 
load

Member
Mar 19, 2017
84
125
Sio braces,anakiwa kwanza atengenezewe functional arthodontics appliance kwa ajili ya kukorect hayo meno kwanza ili yakae kwenye mstari,baada ya hapo atatengenezewa appliance nyingine inaitwa retainer kwa ajili ya kumaintain hayo meno kwa muda Fulani ili jajifix kwenye bone vizuri,ndipo hapo akitaka kiwekewa hizo braceses nnaweza kuwekewa,ila take in your mind,braces hairudishi meno bali in a maintain position ya meno, by Dental technologist/ Clinical dentist,ndo ivo mkuu iam professional on dhat.
 
avogadro

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
4,165
2,000
Mpeleke smile dentist wapo Posta, mkabala na Citi Bank. Unapita pembeni ya Holiday inn Hotel. Wapo mkono wa kushoto
Mkuu hii technology wanaiweza hapo? maana mimi nimebakiwa na meno 10 tu ya mbele nyama sasa naiangalia kwa macho tuu
 
platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
8,807
2,000
Mkuu hii technology wanaiweza hapo? maana mimi nimebakiwa na meno 10 tu ya mbele nyama sasa naiangalia kwa macho tuu
Sina hakika kama wana hiyo technology lakini wako equipped vizuri. Utapata ushauri naamini IPO njia
 
Zilpah

Member
Oct 12, 2016
95
125
Sio braces,anakiwa kwanza atengenezewe functional arthodontics appliance kwa ajili ya kukorect hayo meno kwanza ili yakae kwenye mstari,baada ya hapo atatengenezewa appliance nyingine inaitwa retainer kwa ajili ya kumaintain hayo meno kwa muda Fulani ili jajifix kwenye bone vizuri,ndipo hapo akitaka kiwekewa hizo braceses nnaweza kuwekewa,ila take in your mind,braces hairudishi meno bali in a maintain position ya meno, by Dental technologist/ Clinical dentist,ndo ivo mkuu iam professional on dhat.
Gharama ya kufix meno inaweza kucost how much?
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
27,889
2,000
Sio braces,anakiwa kwanza atengenezewe functional arthodontics appliance kwa ajili ya kukorect hayo meno kwanza ili yakae kwenye mstari,baada ya hapo atatengenezewa appliance nyingine inaitwa retainer kwa ajili ya kumaintain hayo meno kwa muda Fulani ili jajifix kwenye bone vizuri,ndipo hapo akitaka kiwekewa hizo braceses nnaweza kuwekewa,ila take in your mind,braces hairudishi meno bali in a maintain position ya meno, by Dental technologist/ Clinical dentist,ndo ivo mkuu iam professional on dhat.
Kiongozi nina swali.kuweka jino bandia uwa haiumi kwel?
 
AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,009
2,000
garama zake zikoje na wekeni mawasiliano basi. niko mkoani kwa sasa na nitatakiwa kusafiri naye kwenda huko dsm. Arusha je wapo? Mbeya je wapo? aghakan huwa wanafanya iyo kitu? Dodoma? manake hayo ndiyo makazi yangu. thanks kwa michango yenu.
 
james bendui

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
416
500
Sio braces,anakiwa kwanza atengenezewe functional arthodontics appliance kwa ajili ya kukorect hayo meno kwanza ili yakae kwenye mstari,baada ya hapo atatengenezewa appliance nyingine inaitwa retainer kwa ajili ya kumaintain hayo meno kwa muda Fulani ili jajifix kwenye bone vizuri,ndipo hapo akitaka kiwekewa hizo braceses nnaweza kuwekewa,ila take in your mind,braces hairudishi meno bali in a maintain position ya meno, by Dental technologist/ Clinical dentist,ndo ivo mkuu iam professional on dhat.
Vp mkuu mm nimeshakomaa kbs ni mtuu mzm yani meno yangu hayapo katika utaratib mzuri kbs mpk some time kuchekaa inabid nivunge naishiwa na comfidance kabis kwa jili ya mpangilio mbaya wa meno yangu ss kwa mimi nifanyajee au nawez pata meno ya bandia kuvisha kwa juu naombeni msaad kwa hili wakuu sina raha kbs kila nikijiona kweny kioo naona vibaya na meno yangu haya
 
lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,286

Uko mkoa gani mkuu
 
Old - Hand

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,636
2,000
Sio braces,anakiwa kwanza atengenezewe functional arthodontics appliance kwa ajili ya kukorect hayo meno kwanza ili yakae kwenye mstari,baada ya hapo atatengenezewa appliance nyingine inaitwa retainer kwa ajili ya kumaintain hayo meno kwa muda Fulani ili jajifix kwenye bone vizuri,ndipo hapo akitaka kiwekewa hizo braceses nnaweza kuwekewa,ila take in your mind,braces hairudishi meno bali in a maintain position ya meno, by Dental technologist/ Clinical dentist,ndo ivo mkuu iam professional on dhat.
Baba kwa mtu mzima vinafanyika ivyo?

Nina kajino flan kimepandana.... ishakua alama nikiharibu nadakwa kirahisi saaana... vp kuna njia mbadara
 
worldboss

JF-Expert Member
Jun 30, 2015
1,726
2,000
Cost je? Maana hata mimi nataka kuweka braces lakini swala la gharama bado sijajua linakaa vipi
 
amos eglan

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
310
500
Vp mkuu mm nimeshakomaa kbs ni mtuu mzm yani meno yangu hayapo katika utaratib mzuri kbs mpk some time kuchekaa inabid nivunge naishiwa na comfidance kabis kwa jili ya mpangilio mbaya wa meno yangu ss kwa mimi nifanyajee au nawez pata meno ya bandia kuvisha kwa juu naombeni msaad kwa hili wakuu sina raha kbs kila nikijiona kweny kioo naona vibaya na meno yangu haya
Ushakuwa vampire aisee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom