BP waanza kuuza mafuta serikali YAGWAYA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BP waanza kuuza mafuta serikali YAGWAYA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Aug 22, 2011.

1. Kachanchabuseta

Kachanchabuseta JF-Expert Member

#1
Aug 22, 2011
Joined: Mar 8, 2010
Messages: 7,290
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Katika hali ambayo haikutegemewa compuni ya BP Tanzania imeaanza kuuza
mafuta yake katika vituo vyake. Leo tarehe 22.08.2011 kituo chake kilicho karibu na Bank M
wameanza kuuza mafuta. Kama unapita pale sasa hivi kuna magari mengi ya kibarozi na serikali na
raia wa kawaida wanajaza mafuta,

Jana 21.07.2011 kituo cha mwenge walifungua mpaka sasa wanauzi mafuta kwa kwenda mbele, kabla
hawajauzi jana niliona fundi anapanda juu kutoa nembo ya "BP" ili wasema walikuwa wanatumia nembo nyingine

Hivi kwanini serikali hii wanajizalilisha??
kwani hii serikali inakuwa Legelege???

2. Mpita Njia

Mpita Njia JF-Expert Member

#2
Aug 22, 2011
Joined: Mar 3, 2008
Messages: 7,012
Likes Received: 32
Trophy Points: 145
Mkuu, BP hawakuzuiwa kuuza mafuta kwenye filling stations zao. Ewura walisimamisha leseni yake ya biashara ya jumla na hawaruhusiwi kuuza mafuta kwa jumla. Hizi filling station zinaruhusiwa kununua mafuta kwingine na kuendelea na biashara kwa sababu zenyewe hazikuhusiak an adhabu ya BP. na kama haufahamu, vituo vingi hivi vya kujaza mafuta havimilikiwi na BP moja kwa moja, ni vituo vya watu binafsi ambao wana mkataba na BP wa kutumia nembo yao ya biashara

3. Emanuel Makofia

Emanuel Makofia JF-Expert Member

#3
Aug 22, 2011
Joined: Jan 5, 2010
Messages: 3,843
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
usikurupuke soma masharti waliyopewa!!!

4. k

kabombe JF-Expert Member

#4
Aug 22, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 15,617
Likes Received: 8,573
Trophy Points: 280
Usiwe na kiherehere cha kukimbilia JF kabla ya kufanya utafiti.Kwenye nyekundu umejipiga ngwala kabla hata ya kufikisha ujumbe jamvini.

5. Kiby

Kiby JF-Expert Member

#5
Aug 22, 2011
Joined: Nov 16, 2009
Messages: 5,209
Likes Received: 1,010
Trophy Points: 280

Na wewe bana. Kwani ni kipi walizuiliwa? Ni kuuza jumla ama rejereja? Mimi nilivyowaelewa Ewura bubu ni kwamba BP wamezuiliwa kuuza mafuta yake ya petrol, diesel na ya taa kwa reja reja na badala yake wataruhusika kuyauza jumla kwa makampuni mengine ambayo hayo ndiyo yatauza rejereja.

6. M

Maswa Member

#6
Aug 22, 2011
Joined: Feb 17, 2011
Messages: 50
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
BP ni mradi wa serikali hawakutaka ku-disclose their interest to the public. Ni vizuri serikali kuweka wazi miradi yote ili watanzania waijue na siyo kufanya kama magendo! vinginevyo tutakuwa na tafisiri kwamba watu wanatumia serikali kufanya biashara zao binafsi.

7. MTAZAMO

MTAZAMO JF-Expert Member

#7
Aug 22, 2011
Joined: Feb 8, 2011
Messages: 12,502
Likes Received: 5,613
Trophy Points: 280
hili la Bp limetushangaza wengi,na hakuna anaefatilia kwani hakuna agizo la serikali lilotimizwa! Wameendelea kuuza mafuta na majuzi nilikuwa airport nikashuhudia!

8. MTAZAMO

MTAZAMO JF-Expert Member

#8
Aug 22, 2011
Joined: Feb 8, 2011
Messages: 12,502
Likes Received: 5,613
Trophy Points: 280
hapa nipo BP mwenge najaza mafuta! Mbona hii ni habari kubwa waandishi wetu mbona hawaoji?

9. Rugas

Rugas JF-Expert Member

#9
Aug 22, 2011
Joined: Jan 8, 2009
Messages: 1,053
Likes Received: 9
Trophy Points: 135

10. Jagermaster

Jagermaster JF-Expert Member

#10
Aug 22, 2011
Joined: Nov 6, 2010
Messages: 656
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Kwa kifupi tu, vituo vya mafuta vya BP havikuzuiwa kuuza mafuta,hivi hamkulielewa hili. Toka lini selikari ikajipiga marufuku!!!.BP ilizuiwa kuagiza mafuta tu, akili kumkichwa!, mlishaambiwa selikari hewa hii, mnataka msadikishwe namna gani???..

11. Kachanchabuseta

Kachanchabuseta JF-Expert Member

#11
Aug 23, 2011
Joined: Mar 8, 2010
Messages: 7,290
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
masharti gani hayo kwamba na vituo vyake vyote vianze kuuza mafuta? mimi ninavyojua vituo vinavyotumia nembo ya BP viko mikoani sia dar

12. Kachanchabuseta

Kachanchabuseta JF-Expert Member

#12
Aug 23, 2011
Joined: Mar 8, 2010
Messages: 7,290
Likes Received: 11
Trophy Points: 135

Hapa dar es salaam Bp filling station zote zinamilikiwa na BP wenyewe mkoan ndo other comp wanatumia nembo yao

13. Kachanchabuseta

Kachanchabuseta JF-Expert Member

#13
Aug 23, 2011
Joined: Mar 8, 2010
Messages: 7,290
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Hil ni tatizo la uelewa mdogo, pole

Loading...