BP Oil Saga:...Hooray! at last!

Du jour concerns in my environment are way beyond an oil spill in the Gulf of Mexico. There's crippling desertification of my environment, people are dying of brutal drought, we use leaded gasoline and asbestos is still legal, think I'm gonna give a hoot about a horsefly dying in the Gulf of Mexico? Heck, I want the flies to die, shoot. Care begins at home, you care first for what concerns you and your environment. You survey people from the country of the spill and you're not gonna get a 100% rate of concern. Think I will?

So, for registering my feelings that a spill in the Gulf of Mexico doesn't concern me that diagnoses "stupid" in your book. As an environmentally-minded person you should have taken my standpoint as a finding, that there are some people who just don't care about such issues and coolly inquire as to why.That's how you raise awareness, not by name-calling just because I thought the subject matter didn't matter to me. Be civil.

I'm confronting environmental calamities more devastating than a spill killing horseflies in the Gulf of Mexico.

Be civil!? hahahahahahah does it show civility on your part when you wrote, "who cares"? Civility is a two way traffic.
 
Ati?lol

Kuna watu sijui wamemwagwa au wamenyimwa unyumba, sasa njia pekee ya kuondoa stimu ni kugombana na keyboards.

Kampeni ya Sophia Simba imeanza kuzaa matunda, dawa kama mlivyoambiwa ni kujiunga na CCM!! Ama sivyo mtazimaliza hizo keyboards.
 
Kampeni ya Sophia Simba imeanza kuzaa matunda, dawa kama mlivyoambiwa ni kujiunga na CCM!! Ama sivyo mtazimaliza hizo keyboards.
Madhila ya CCM yanasababisha mzio wa akili na depression na mwishoe erectile dysfunction, sasa kipi bora.. he he he..
 
Thanks god the spill is almost over. It has taken the first world 87 days to find a temporary solution to the spill. Imagine if this was to happen in our third world. How long would it have taken?
This is a big lesson. Remember the burning tank in Tazama Pipelines Kigamboni which lasted for 7 days before extinguishing the fire back in the eve of 31st Dec. 1989?
Remember the burning tank in the Tanesco ubungo plant which ended by bravery of the two fire officers who stormed in the fire and closed the leaking tank manholes before the bizare spread to the neighbourhood?
Remember what a disaster which killed over 50 people in Tukuyu when a tanker overturned and spill over the fuel it was carrying?
Remember what happenned recently in eastern Congo DRC when a tanker overturned and spill over the fuel it was loaded with? over 70 people lost their lives in that poor village.
Environmentalists come over and start educating people that Petroleum fuel is as dangerous and it can only be compared with the fires of Hell we so hear. Responsible government machinery should come up and inspect all oil handling firms to ensure safety of our environment is as protected as money in the central bank lest what happened in the gulf of Mexico can befall us if we are not careful. g9t all. :A S-eek:
 
My father used to lament about auto engineers who didn't know how to change the oil in their own car. I've likewise worked with engineers that don't know how to assemble a bbq, but are supposed to be qualified to work on satellites. Thus, it doesn't surprise me that there are a bunch of brilliant people in the oil industry who didn't know how to build a valve to stop the oil flow. They're too self important and impressed with their own credentials to "lower" themselves to listen to the people who work with the hardware day in and day out and understand how to make things that work. The valve that they are currently using is elementary and a no-brainer and should have, and could have been built much sooner. Oh well...

Hii comment nimekutana nayo sehemu imenichekesha sana. solution imetolewa na plumber. Naona hata hao wasomi na wataalmu wa BP wanajaribu kui undervalue hii kitu kuwa its just temporary.
 
It took them long enough!

Sasa tunasubiri na law suits zitakazoibuliwa na environmentalists kupitia wavuvi na wenye biashara ya utalii kwenye eneo Hilo......
 
BP, scientists try to make sense of well puzzle
NEW ORLEANS – In a nail-biting day across the Gulf Coast, engineers struggled to make sense of puzzling pressure readings from the bottom of the sea Friday to determine whether BP's capped oil well was holding tight. Halfway through a critical 48-hour window, the signs were promising but far from conclusive.
Kent Wells, a BP PLC vice president, said on an evening conference call that engineers had found no indication that the well has started leaking underground.
BP, scientists try to make sense of well puzzle - Yahoo! News
 
Nyie wamanga na mambo ya mazingira wapi na wapi? Ni unafiki mtupu. Mimi sijawahi kuona mmanga amepanda mti, ameokota taka taka wala lolote la kusaidia mazingira hata siku moja. Tena wamanga ndiyo wako mstari wa mbele kuwinda wanyama pori kwa biashara haramu za pembe za ndovu. Na mkisha shiba tambuu mnatuchafulia hali hewa na kutuharibia ozone layer yetu. Hebu wacheni unafiki.
 
babu na taso i think there is no need for you guys to throw such words to each other but rather in contributing to any thread we should all try asmuch as possible to comments about the intention of the thread, gulf oil disaster is affecting any one in one way or another and we wanted it to be halted, in extreme cases kwa mfano, usa has been busy adressing the spill and reducing time to talk about global issues as we both know they rule this world.
 
Nyie wamanga na mambo ya mazingira wapi na wapi? Ni unafiki mtupu. Mimi sijawahi kuona mmanga amepanda mti, ameokota taka taka wala lolote la kusaidia mazingira hata siku moja. Tena wamanga ndiyo wako mstari wa mbele kuwinda wanyama pori kwa biashara haramu za pembe za ndovu. Na mkisha shiba tambuu mnatuchafulia hali hewa na kutuharibia ozone layer yetu. Hebu wacheni unafiki.
Tambuu sizo zinazochafua mazingira.Tambuu huleta saratani,wale wenye vichwa ngumu wengi tumewazika.
Sisi kutunza mazingira ni sehemu ya imani yetu.Huku tunakoishi sisi husikii miziki wala hakuna majani ya mirungi kwa sababu vitu hivyo ni najisi kwetu.
Uharibifu wa ozone layer hufanyika katika viwanda vinavyotengeneza silaha za kutuua sisi wamanga,wahindi na wasomali kutokana na imani zetu .Ozone depletion - Wikipedia, the free encyclopedia.
Hiyo huona haitoshi sasa wanatutilia sumu majumbani kwetu kabisa!. https://www.jamiiforums.com/international-forum/67214-israel-dumps-waste-on-palestinians.html
Wee kmdh bora unyamaze tu.
 
BP stops oil leak in Gulf of Mexico for first time since April

Aside from the cost to BP, which has spent more than $3bn (£2bn) on the cleanup, seen its share price plummet and had to set aside $20bn, the spill has caused widespread economic harm across the Gulf. Vast areas of water remain closed to fishing and there has been a rash of hotel cancellations during the school holiday season.

"This body has lost a lot of blood," Norm Coleman, a former Republican senator told CNN. "This is good news but that doesn't mean that the pressure is off."

Yesterday's success followed days of uncertainty about how the sealing cap would perform, and whether it could stop the oil without blowing a new hole in the well.

The administration put a 24-hour hold on BP's plans while it reviewed the risks of the operation.

Kama maafa haya yangefanywa hapa Afirka, hao jamaa wa BP wasingfanya chochote zaidi ya kututelekeza na kuishia zao. LAkini kwa kuwa wameyafanya huko USA wamehakikisha kuwa wanatumia nguvu zao zote kuzuia utokaji wa mafuta na kugharimia usafishaji wa mazingira.

Tuamke Waafrika, tuige mfano wa Obama.
 
Tambuu sizo zinazochafua mazingira.Tambuu huleta saratani,wale wenye vichwa ngumu wengi tumewazika.
Sisi kutunza mazingira ni sehemu ya imani yetu.Huku tunakoishi sisi husikii miziki wala hakuna majani ya mirungi kwa sababu vitu hivyo ni najisi kwetu.
Uharibifu wa ozone layer hufanyika katika viwanda vinavyotengeneza silaha za kutuua sisi wamanga,wahindi na wasomali kutokana na imani zetu .Ozone depletion - Wikipedia, the free encyclopedia.
Hiyo huona haitoshi sasa wanatutilia sumu majumbani kwetu kabisa!. https://www.jamiiforums.com/international-forum/67214-israel-dumps-waste-on-palestinians.html
Wee kmdh bora unyamaze tu.

Kutosikia mziki au kutokuwa na mirungi si utunzaji wa mazingira. Kwanza watafunaji wakubwa wa mirungi si Wasomali ambao ni wamanga wenzako? Sasa utasemaje hakuna majani ya mirungi kwenu? Kama kweli wamanga mngekuwa mnathamini mazingira tungeona jinsi mnavyopanda miti na kusafisha mazingira hapa EA. Lakini hatujawaona. Na nimekupa mfano wa biashara haramu zinazomaliza maliasili zetu. Wamanga wamejaa tele kwenye hizo biashara haramu. Na hao wapalestina ambao unaona wanateswa kwa nini hawaamii nchi za jirani kama Egypt, Jordan, Saudi Arabia n.k.? Ukweli ni kwamba wamanga wengi ni wanafiki, mgogoro wa palestina wanaitumia kujisaidia kisiasa tuu lakini wapalestina hawawajali hata siku moja. Kama kweli wanawajali nchi kama Egpyt, Jordan, Saudi Arabia wangechukua wapalestina wengi zaidi kama wakimbizi.
 
He he he. Taso naona unambana kweli Bubu leo. Mngekuwa uso kwa uso lazima mngerushiana ngumi. Mnaleta entertainment kweli.

:argue:

Ha ha haaa!
The other guy aka taso has a point as well as bubu.
Ila mmoja wao yuko too emotional than logical.
Guess who?
 
Nyie wamanga na mambo ya mazingira wapi na wapi? Ni unafiki mtupu. Mimi sijawahi kuona mmanga amepanda mti, ameokota taka taka wala lolote la kusaidia mazingira hata siku moja. Tena wamanga ndiyo wako mstari wa mbele kuwinda wanyama pori kwa biashara haramu za pembe za ndovu. Na mkisha shiba tambuu mnatuchafulia hali hewa na kutuharibia ozone layer yetu. Hebu wacheni unafiki.
Dude u need to see psychiatrist.
 
Kutosikia mziki au kutokuwa na mirungi si utunzaji wa mazingira. Kwanza watafunaji wakubwa wa mirungi si Wasomali ambao ni wamanga wenzako? Sasa utasemaje hakuna majani ya mirungi kwenu? Kama kweli wamanga mngekuwa mnathamini mazingira tungeona jinsi mnavyopanda miti na kusafisha mazingira hapa EA. Lakini hatujawaona. Na nimekupa mfano wa biashara haramu zinazomaliza maliasili zetu. Wamanga wamejaa tele kwenye hizo biashara haramu. Na hao wapalestina ambao unaona wanateswa kwa nini hawaamii nchi za jirani kama Egypt, Jordan, Saudi Arabia n.k.? Ukweli ni kwamba wamanga wengi ni wanafiki, mgogoro wa palestina wanaitumia kujisaidia kisiasa tuu lakini wapalestina hawawajali hata siku moja. Kama kweli wanawajali nchi kama Egpyt, Jordan, Saudi Arabia wangechukua wapalestina wengi zaidi kama wakimbizi.
Wewe kmdh ni vuvuzela kweli kweli,huelewi maana ya ozone layer wala viaharibifu vya ozone.Nimekuwekea link hukujali kuisoma ukaishia kimya kimya.Nimekuonesha wachafunzi wa mazingira pia huelewi.Ngoja nikukumbushe hapa
Israel dumps waste on Palestinians - middleeast - Al Jazeera English
Kuhusu hii kupanda miti na kuokota majani sijui umekusudia nini?.Mimi nyumbani kwangu hizo kazi nikiwa na muda huwa nafanya mwenyewe,au unataka unione wapi nikiokota majani?.Kuhusu kupanda miti hao unaowaita wamanga ndio wanaojali sana lakini tu miti kwao haioti kama huko kwenu.Nimewahi kuona mti unaofanyiwa juhudi uote pembezoni mwa barabara iunganishayo miji miwili ya umangani.Bajeti ya huu mti kwa mwezi ni sawa na bajeti ya familia yako kwa mwaka mzima.
Wewe kmdh ndio mharibifu mkubwa wa mazingira.Kule kwenu kijijini miti iliyoota yenyewe kama miembe munaichoma moto bila sababu ya msingi,ndio maana kila siku wajomba zako wanalia njaa.Wanakufuata huko huko mjini.
Biashara haramu haifanywi na wamanga tu,bali na majangili ambao wapo kila pahala.Majangili wakubwa na waovu wala si wamanga.Wewe ukiuza bia unadhani umefanya biashara halali?.Zile silaha zinazopelekwa Israel kutoka US unaona nayo ni biashara halali?.
Huu ujinga unaotaka wapalestina na wasomali ambao ni waislamu wala hawatoufanya.Kwamba wakimbie kwao wawapishe mayahudi na waganda.Wewe utakubali mimi nije kwako,kwa mwanamume mwenzangu nikutowe nyumbani kwako nikae mimi nitawale.Na mimi ndio nikuendeshee nyumba yako.Huoni kwamba huu ni uvuvuzela ambao Mungu atakuchoma moto ukiukubali.Halafu wewe unanipangia wapi niende ili ukae wewe nyumbani kwangu.Huko nenda wewe,mimi kwetu ni hapa!.
 
Back
Top Bottom