BP Machine kwa ajili ya Upinzani

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,739



Waungwana nimefikiria sana na kuona kuwa kuna haja ya kuwasaidia wagombea na washabiki wao hasa wa UPINZANI BP Machines ambazo ni portable ambazo huhitaji kwenda hospital na unaivaa kama smart watch,,, hizi machine ni nzuri sana ,hii itasaidia sana hasa kipindi cha uteuzi na wakati wa kusubri matokeo..... asanteni sana

Wenu katika ujenzi wa Taifa!!!!
 
Iwepo pia mashine ya kuwapima akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…