Boyz II Men

geophysics

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
904
166
Sasa wewe mgeni wetu mbona umeanza kunukuu picha zilizopo humu...... Embu tembelea thread nyingi nyingi kwanza basi kabla hujaweka maana hiyo picha ipo hapa tena si mara moja...
 
Sasa wewe mgeni wetu mbona umeanza kunukuu picha zilizopo humu...... Embu tembelea thread nyingi nyingi kwanza basi kabla hujaweka maana hiyo picha ipo hapa tena si mara moja...
mh! are u sure mi mgeni? ni madhila tu ndugu yangu yanatufanya kuonekana wageni humu
 
Aliyechakachua picha za hawa wasanii amekosea kidogo. Hali halisi ni kwamba mkwele ni mrefu kidogo kuliko anayejiita mtoto wa mkulima. Azawaizi nampongeza mtoa mada kwa ubunifu. Wamependeza sana na in fact wanafanana kabisa tena sana na matendo yao.
 
Back
Top Bottom