Wataje wa5Huu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.
Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.
I wish iwe hivyo, ajab mungu anatutolea wazuri anatuachia mitihaniHuu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.
Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.
Umefika wkt Sasa CCM wanafanya watakavyo! Eti...?Dawa ni kuipiga chini CCM, miaka zaidi ya 60 kila siku ni porojo tu! Tuwape wengine nao wakizingua wapigwe chini! Ccm wamejipa hatikiliki ya nchi hii kwa hiyo wanafanya watakavyo! Ndio mana wanafunga watu kwa ajili ya kutetea katiba mpya!
Mlioanza siasa 2017"Boys 2 Men" ndo kina nani hawa?
Tusaidiane kuifumbua hii "code language"
Mkuu, Ngungenge unafikiri hatuwezi kupata Bora zaidi ya hawa? Nchi ikasonga zaidi? Au watu milion 60, wao ndio vipanga tu!!Bora boys 2 men kuliko Sukuma gang
Boys 2 men tuliishi vizuri watoto Shule za mana tulijenga tulinujua V8 kwa pesa zetu
umekosea Gentamycine ni Mnyarwanda anaeishi kimaslahi Tanzania!!Wafuatao siwafahamu ila ni watu ambao sina mashaka na kuipenda kwao Tanzania.
barafu , GENTAMYCINE , Tindo , britanicca , Salary Slip , My Son drink water , Mnyika ,
π€π€π€ GENTAMYCINE anaipenda Tanzania kweli....?Wafuatao siwafahamu ila ni watu ambao sina mashaka na kuipenda kwao Tanzania.
barafu , GENTAMYCINE , Tindo , britanicca , Salary Slip , My Son drink water , Mnyika ,
Mkuu sijui tunafanyaje waingie watu wapya wenye fikra mpya, na wawe huru bila mizizi ya nyuma huko!Mimi nikisema huwa nachukiwa na kuonekana mwendawazimu, lakini niwaambieni ndugu zangu: Hawa wazee wa Cold-War na Ujamaa ni watu hatari mno kwa mustabali na ustawi wa taifa letu. Hiki kizazi kimerivuruga sana hili taifa na kitaendelea kufanya wanachokitaka mpaka tutapoamua kuwatoa kinguvu. Bila hivyo tutapiga mbizi kwenye lami....
Sasa kama haya majitu ndio yamejichimbia hivi! Tunafanyaje? Nchi inageuzwa kama chapati!!? Kweli?Genge la mafisadi likiongozwa na Kiranja wao mkuu JK ni tishio kwa ustawi wa hii nchi.
Mtandao wao umeshikamana kutoka ndani mpaka kwa waume zao mabeberu.
As a country, we need strong measures to keep these monsters at bay.
Nani anajua kwa hakika hawa ni watu wa aina gani na chimbuko lao ni lipi!!!
Siasa za CCM zenyewe zimekuwa kama vita!!Mkuu hayo ni majoka ,,,yaliona ili yaibe yaanze na Mzee WA lupaso .Sasa hivi yanajitawala na yanakula yatakavyoo ..ni MDA WA kusali kila mmoja Kwa Imani yake ili siku Moja yafie kwenye kichuguu Kwa pamoja ( MTU Kama vice president & prime minister ni WA kukaaa kimya Kama vile hawapo.hii inatoka kuwa wameona mijoka mikubwa kwenye kichuguu ukileta za kuleta unaliwa kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app