Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Hapana, mbona wanashika kiuno, nani aliwaambia kuwa shika kiuno na kwa nini wasicheze bila kushikana. Sio malezi mema anywayBado hawajakomaa kimapenzi, kila mtu yuko mbali kihisia, labda wamelazimishwa.