Nandinii
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 2,573
- 2,808
Duh aisee....huyo ni mchafu tu tangu zamani, kama apo yupo peke ake afu umeenda siku ya kwanza umekuta uchafu ivyo..hiyo ni asili yake. Na nyie mnaosema eti kuwa anapimwa km anampnz ya kweli, weee upimwaji gani huo wa kuumizana migongo, mwanaume lzm awe ni muelewa na ni msafi vile vile, km ndani kwake si msf je uko kwny gololi 2 inakuaje?, ..kuna raha yake ya kuwa na mwanaume msafi, huyo mwanaume akikuoa sidhn km atakusaidia ata kufua boksa yake mn ni mvivu...mwanaume smart ata kwake we mwnyw unajckia raha bhn. ..kwa kweli mimi mwanaume mchafu asinifuate kabisa, mana lazm michambo ihusike afu ndo km kupimwa nipate zero alaaaah