Boyfriend wangu ni mchafu sana

Duh aisee....huyo ni mchafu tu tangu zamani, kama apo yupo peke ake afu umeenda siku ya kwanza umekuta uchafu ivyo..hiyo ni asili yake. Na nyie mnaosema eti kuwa anapimwa km anampnz ya kweli, weee upimwaji gani huo wa kuumizana migongo, mwanaume lzm awe ni muelewa na ni msafi vile vile, km ndani kwake si msf je uko kwny gololi 2 inakuaje?, ..kuna raha yake ya kuwa na mwanaume msafi, huyo mwanaume akikuoa sidhn km atakusaidia ata kufua boksa yake mn ni mvivu...mwanaume smart ata kwake we mwnyw unajckia raha bhn. ..kwa kweli mimi mwanaume mchafu asinifuate kabisa, mana lazm michambo ihusike afu ndo km kupimwa nipate zero alaaaah
 
Siku ukipata muda mvizie, ukiona amezubaa zubaa


Mpige gongo la kichwa alufu muingize kwenye washing machine

Kazi imekwisha😎
 
Wengine ni vichaa jamani,binafsi sijawahi kupitia maisha ya uchafu.
Kuna watu wachafu jamani sijui wanajisikiaje kuna mkaka namfaham nilipita maeneo anakoishi akaniita nimsabahi aisee sebuleni vijiko vipo juu ya sofa yaan vumbi
Nikajiuliza anaona hali ya kawaida kuishi hivii nikamsalimia nikasepa
Kuna wadada pia ni wachafu ukiingia ndani mwao unaweza kosa hata pa kupumulia yaan o2 hakunaa sijui wana matatizo ya akili

Uchafu hauvumiliki kwa kweli safi sana kwa wanaume walio wasafi kuanzia miili yao mpaka wanapoishi
Kama huwezi fanya kuna watu wanatafuta hizo kazi anakuja anakufulia,anadeki anapanga vitu vyote na kusafisha kila kitu muwe mnawaita hata hao jamani
 
Achana Nae.

Mbona Kuna Vijana Wasafi Wengi Tu Kama Kina Ben Kinyaiya, Bob Junior, Ommy Dympoz N.K

Life is full of altenatives, why bother ?
 
Dah sio wote mbona waelewa tupo...
Kwa kweli I don't think if there is anything we can do about it kwa sababu wanaume hawataki kukosolewa wala kuambiwa ukweli na wanawake yaani wameshajiwekea kuwa wao ndiyo wako sawa siku zote
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom