Kwan hijui kama majanaume ya kibongo karibia yote yapo hivyo hivyo hata kama likikaa kimya.
sijui tumerogwa na nani?
Kwahiyo akifanyia nje ndo itakuwa salama????????????
Wenzio wakinyolewa zako tia maji! Sasa mi naamua kutia mafuta kabisaaa ili mkasi uteleze nisinyolewe!!!!!!!! I know im not special na upuuz kama huu kwa mie Kubwa la Maadui sikawii kumuwekea mtu dawa ya uhanisi kwenye juisi! Dhambi za nini? Bado nipo nipo sanaaaaaaaaaaaa!
Ahsante sana mkubwa mwenzangu....
Ndiyo maana nikiona watu wanajadili hilo jambo, mwenzio najua hao bado bado sana...
Sie tuliokwishastaafu tunachojua kwenye misamiati yetu ni kwamba wenzetu wanatumia akili na busara....baaasi...
Ila hayo mengine wala, hata hatuulizi!!
Babu DC!!
Hiyo familia inatisha hakuna wakumshtua mwenzie anapotaka kuanguka?na huyo mwanamke wa kwenda kulala nyumba ya mwenzie kisa yupo shule au wamegomba hafai katika jamii. akirudi, wakipatana? hawa wanaume wengi wao akili zimehamia katikati ya miguu yao. bora umemfahamu mapema. lakini mwingine ni upeo tu mdogo muulize mbona anasupport ujinga umsikie anavyojibu,yawezekana akatambua anacho support ni kuzidi kuvunja nyumba ya kakaake na akamrekebisha kakake.Wanajamii natumaini mpo poa, kunakitu kimentatiza npo na bf tunakaribia kuanza taratibu za uchumba, yeye ana kaka yake ambae ameoa ila kwa sasa kaka yake huyo hayupo sawa na mkewe wametofautiana, ifu imetokea mkewe kapata safar ya nje kikazi. sasa kaka mtu amemsoudisha kimada wake aje kulala hapo home kwake et na huyu mchumba mtarajiwa anasupport tu aende akalale sababu mke wa kaka haelewani na mumewe!!!!!!! sasa na mim nawaza Binadamu kukosana kupo so atakua ananifanyia hivihivi?? pole kwetu wanawake kwa kweli
Kwan hijui kama majanaume ya kibongo karibia yote yapo hivyo hivyo hata kama likikaa kimya.
sijui tumerogwa na nani?
Kwa kweli poleni sana! Nadhani huyo mchumba wako amekuwa muwazi tu...angetaka kuwa 'politically correct' angeweza tu kukuzuga! Kwa hiyo umeamua 'kusuka' au 'kunyoa'?
Nadhani kote tu wapo: Kina Zuma, Kina Tigerwoods, Kina Clinton, Kina Berlusconi etc :biggrin1::biggrin1::biggrin1:.
we acha tu mpaka em having second thoughts ila unaweza tena utaenda wap ambako hamna such things??? such a rotten and crazy world!!
Ndugu yangu,
Hebu fuatilia mjadala na comments zangu...
Sijasema wafanyie wapi labda kama unataka kunisaidia ...and there you have it wrong...
Ndiyo maana nasema ni upuuzi wao...but yet millions are in it!!
Babu DC!!
Hao ndiyo wanaume mdogo wangu,
Ukiona mwanamume ambaye hamtetei mwenzake basi ujue huyo na katatizo kadogo...Ni kama mwanamke ambaye hamgombelezei mwanamke mwenzake....
Ila angemshauri kaka yake kama anataka kufanya upuuzi wake asifanyie nyumbani....that's how men help each other... siyo kupeana sumu!!
Babu DC!!
kweli kabisa kucheat si msamiati mgeni hata kidogo...
siongezi neno hapa
Hebu oanisha maelezo yako ya hapa juu na hapa chini kwenye red halafu uniambie kwamba ulikua unamaanisha nini kama na wewe ujasupport huyo jamaa kufanya hicho kitendo but hukutaka afanyie home!!!!!!!
Hiyo familia inatisha hakuna wakumshtua mwenzie anapotaka kuanguka?na huyo mwanamke wa kwenda kulala nyumba ya mwenzie kisa yupo shule au wamegomba hafai katika jamii. akirudi, wakipatana? hawa wanaume wengi wao akili zimehamia katikati ya miguu yao. bora umemfahamu mapema. lakini mwingine ni upeo tu mdogo muulize mbona anasupport ujinga umsikie anavyojibu,yawezekana akatambua anacho support ni kuzidi kuvunja nyumba ya kakaake na akamrekebisha kakake.
Tatizo wewe na mimi tuko dunia mbili tofauti...
Mwenzio nasoma context wakati wewe unasoma maneno...hatuwezi kuwa sawa mkuu...
Experience ni kitu kingine ndugu yangu......
Babu DC!!
Ngoja nikuache uendelee na dunia yako.
Wenzio wakinyolewa zako tia maji! Sasa mi naamua kutia mafuta kabisaaa ili mkasi uteleze nisinyolewe!!!!!!!! I know im not special na upuuz kama huu kwa mie Kubwa la Maadui sikawii kumuwekea mtu dawa ya uhanisi kwenye juisi! Dhambi za nini? Bado nipo nipo sanaaaaaaaaaaaa!
Mwache aogope mapema bwana,
Anaweza kuwahi kwa Bishop akitoloshewa kwenye convient....nimeambiwa Masista wa Canosa wanahitaji new blood...:whistle::whistle:
Babu DC!!
Hahahahahahaha
Ila uwanjani lazima aingie!
Bora uniache kwa sababu kweli dunia zetu ni tofautii sana kama maji na mafuta...
Babu DC!!
Mi nilijua tuko tofauti kama Mwanajeshi na Doctor??????