Si boys wote wana support ata kama he supports labda hawezi kufanya barking dogs seldom bitesBirds of the same feather....jitaarishe bibie
Wanajamii natumaini mpo poa, kunakitu kimentatiza npo na bf tunakaribia kuanza taratibu za uchumba, yeye ana kaka yake ambae ameoa ila kwa sasa kaka yake huyo hayupo sawa na mkewe wametofautiana, ifu imetokea mkewe kapata safar ya nje kikazi. sasa kaka mtu amemsoudisha kimada wake aje kulala hapo home kwake et na huyu mchumba mtarajiwa anasupport tu aende akalale sababu mke wa kaka haelewani na mumewe!!!!!!! sasa na mim nawaza Binadamu kukosana kupo so atakua ananifanyia hivihivi?? pole kwetu wanawake kwa kweli
Si boys wote wana support ata kama he supports labda hawezi kufanya barking dogs seldom bites
MNASEMA............ BADO NIPO NIPO SANAAAA!!!!!! Wanamega majimama, wanamega vimada, wanamega hadi beki tatu! Mtu ameoa ila anakitombesha kama kawa! Na Bado mnanishauri harusi!!!!!!!!!? Kumegewa hilo moja je kutupiwa virago ushafikiria????????
BADO NIPO NIPO SANAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!
MNASEMA............ BADO NIPO NIPO SANAAAA!!!!!! Wanamega majimama, wanamega vimada, wanamega hadi beki tatu! Mtu ameoa ila anakitombesha kama kawa! Na Bado mnanishauri harusi!!!!!!!!!? Kumegewa hilo moja je kutupiwa virago ushafikiria????????
BADO NIPO NIPO SANAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!
Huyo jamaa kazidisha kuleta mwanamke kwenye kitanda unacholala na mkeo ni kosa kubwa sana
Ila angemshauri kaka yake kama anataka kufanya upuuzi wake asifanyie nyumbani....that's how men help each other... siyo kupeana sumu!!
Hahahahahahahahahaha
lara 1 usiogope, watu wako tofauti! Ingekuwa hivyo wengi wasinge olewa!
Sasa hapa unaongea kama mwenzetu wa 1947....
Basically, na kwa uzoefu wetu, cheating is not a breaking news...labda kufanya huo upuuzi kwenye kitanda cha mke/mume wa ndoa...
Babu DC!!
Kwa kweli poleni sana! Nadhani huyo mchumba wako amekuwa muwazi tu...angetaka kuwa 'politically correct' angeweza tu kukuzuga! Kwa hiyo umeamua 'kusuka' au 'kunyoa'?Wanajamii natumaini mpo poa, kunakitu kimentatiza npo na bf tunakaribia kuanza taratibu za uchumba, yeye ana kaka yake ambae ameoa ila kwa sasa kaka yake huyo hayupo sawa na mkewe wametofautiana, ifu imetokea mkewe kapata safar ya nje kikazi. sasa kaka mtu amemsoudisha kimada wake aje kulala hapo home kwake et na huyu mchumba mtarajiwa anasupport tu aende akalale sababu mke wa kaka haelewani na mumewe!!!!!!! sasa na mim nawaza Binadamu kukosana kupo so atakua ananifanyia hivihivi?? pole kwetu wanawake kwa kweli
Nadhani kote tu wapo: Kina Zuma, Kina Tigerwoods, Kina Clinton, Kina Berlusconi etc :biggrin1::biggrin1::biggrin1:.Kwan hijui kama majanaume ya kibongo karibia yote yapo hivyo hivyo hata kama likikaa kimya.
sijui tumerogwa na nani?
Hahahahahahahahahaha
lara 1 usiogope, watu wako tofauti! Ingekuwa hivyo wengi wasinge olewa!
Wenzio wakinyolewa zako tia maji! Sasa mi naamua kutia mafuta kabisaaa ili mkasi uteleze nisinyolewe!!!!!!!! I know im not special na upuuz kama huu kwa mie Kubwa la Maadui sikawii kumuwekea mtu dawa ya uhanisi kwenye juisi! Dhambi za nini? Bado nipo nipo sanaaaaaaaaaaaa!
Ndo hapo chacha kucheat si jambo la ajabu kiukweli
Happy New Year!!