MINJA VINCENT
Senior Member
- Aug 31, 2015
- 180
- 24
Hapa unatupia kitu cha ajabu sana ambacho uliwahi kuambiwa/kufanyiwa na mpenzi wako wa zaman au wa sasa na kikakuacha mdomo wazi. MIMI naanza........ 'Baby naomba unibebe nimechoka' afu akakaa chini nakunyoosha miguu,kumbuka hapo ni sokoni na watu wamejaa!
Mbona sikumbuki?
Kwani we ndo demu wake?
itakua hamjaele, ni hivi, kila mtu amewahi kuwa na mpenzi sawa? katika mahusiano yenu unakumbuka nn ambacho mpenz wako wa kike/kiume wa zamani au wa sasa aliwahi kukufanyia/kukuambia na kikakushangaza sana? mi nimetoa mfano kwamba kuna cku moja nlikua sokoni na mpenz wangu,mara gafla akakaa chini nakunyoosha miguu huku akisema baby nibebe nimechoka na watu wamejaa sokon. hiki ni kituko niliwah fanyiwa na mpenz wangu. je wewe uliwah fanyiwa au kuambiwa nn na mpenz wako kikakushangaza?
Sikumbuki!