Boyfriend ananitegemea

Hajaona umuhimu wa kubadilika ila ukimuacha inaweza kuwa sababu ya badilika
 
34 years unamuita boyfriend...acha tu akutegemee kwakweli
 
34 yrs hana hata future na kumfumbua macho kote huko ni kwamba hapo ulipo umewekewa super gluu au upigiliwa na misumari bibie naniiii....... usisubiri utafutiwe fanya yakooooo
 
Unashindwa kuelewa hebu jaribu kukaa nae na muangalie kwann mshahara hautoshelezi mahitaji yake.

Ila najiuliza kama wewe ndo tegemeo lake je umefanya nini ili kuondokana na utegemezi huo hasa kwa mtu asiye na kazi?

NB: ni vyema mtu kuongeza level ya elimu lakini usije ukaamini kuwa mwenye elimu kubwa ndio daima hufanikiwa hata hyo level yake anaweza kufanya kitu na kufanikiwa.
 
I get it unahitaji assurance kama maamuzi unayoyachukua ni ya busara na mm nakuunga mkono huyo mwanaume hakufai mwanaume akifika umri huo kama hajitambui kamwe hatojitambua!!Your not getting any younger yourself either so find a man who suits you kwasababu hapo unajipotezea muda wako and the clock is ticking sweet darling!!There a lot of opportunities out there go and grab them,na usikose matumiani kama ukimuacha hutopata mwengine....huyo anazuia nafasi ya ww kuwa na mwengine wakumzidi yeye!!
 
km vipi piga chini coz inaelekea hujisikii kuwa nae tena fanya kitu roho inapenda usikae na mwiba kwenye mguu ng'oa tupa kuleeee usichechemee tena utapata mwingine mwenye mtazamo na malengo kama yako huyo jamaa yaelekea hajielewi vizuri
 
34 years unamuita boyfriend...acha tu akutegemee kwakweli

dada ukishangaa ya dot com unaweza changanyikiwa.

watu wanapenda sana kujiona watoto wakati ni watu wazima.

mwanaume ana miaka 34 na mwanamke ana miaka 28 bado wanaitana boyfriend na girl friend,, bado wanapelekeana maua na kadi na kuombana picha zao eti bado wadogo...

kiukweli at 28 tu mwanaume alie kamili anakuwa ameshajitambua na hayupo stage ya u boyfriend tena.. ni mtu mzima analea familia yake ndani ya ndoa
 
Mkimbie huyo haraka sana

Njoo kwangu sitakuomba nauli nahaidi

Ni PM tafadhali
 
Wavivu wanajulikana.

Ndege wafananao huruka pamoja..

Beckham sio mpumbavu kumuoa victoria ,,,,, eva longoria na tony parker,,

wavivu kwa wavivu,, wanaojituma kwa wanaojituma,,, ndio maisha ya kisasa yanavyotaka,,
Mkuu, hao watu, Eva na Tony Parker walishatemana kitambo sana!.
 
Ni mlevi? (hapa namaanisha cha pombe/mlevi mbwa)
 
mvizie usiku kalaala mpige bisu la koo, ataondoka milele huatkua na kizingiti tenaaaaaaa
 
Hapo ndo utapomjua mwanamke wa kweli na fake
 

Nakushauri achana naye mtafute mbunge yeyote ambaye yupo single ndo uolewe naye au kama waweza tafuta mapedeshee hapa mjini wapo wengi.Mbona wajipa mateso kuolewa na kapuku
 

This life is too short living with a person ambaye hamna mtazamo wa maisha unaofanana....wanaoombaga hela kwa dad na mumy lool wananiboaga sana...huitaji ushauri kwa hilo kwa kweli...FATA MOYO WAKO.
 
Hajawai kunipa ata sent tano zaidi ya kuninunulia soda,ni mkorofi nimejaribu kumbadilisha nimeshindwa labda nikuletee wewe ujaribu.anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe

Hapo ipo shida...Mshahara wa ualimu laki 3 ukichanganya na ulevi tena ndio basiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…