Boxing gym Mbagala Rangitatu

DOKEZO

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
324
Reaction score
504
Habari wana JF.

Naomba kuulizia kwa yeyote anayefahamu Boxing Gym iliyopo maeneo ya mbagala rangi tatu na viunga vyake vya karibu kama Zakhem,Kokoto n.k basi anijulishe hapa eneo ilipo hiyo gym.
Nimejaribu kuulizia na kutafuta sana manually ila sikufanikiwa kupata boxing gym yoyote kwa anayefahamu naomba anipe maelekezo ni mahali gani ipo na ikiwezekana hata mawasiliano na wahusika wa gym hiyo ili iwe rahisi kuwasiliana nao na kufika mahali hapo.
Ahsanteni.
 
Kuna jamaa ana patikana maeneo ya viunga vya Facebook na instagram anaitwa ANTONY JOSHUA mtafute huyo ata kupa maelekezo ya kutosha..
 
Kuna jamaa ana patikana maeneo ya viunga vya Facebook na instagram anaitwa ANTONY JOSHUA mtafute huyo ata kupa maelekezo ya kutosha..
Duh.ha ha aya mkuu ila mi Niko siriaz mkuu
 

Unataka kuanza kupiga roba nini
 
ILE BARABARA YA KWENDA BIAS KULIKUWA NA ENEO LA MAZOEZI.SIJAJUA KAMA BADO WAPO
 
maeneo ya charambe kwa mbiku km unaenda chamanzi upande wa kushoto karb na kituo cha mafuta
 
...uzitumie vizuri hizo ngumi zako,
..'mwenzenu' kauawa juzi
.wamezika jana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…