chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,885 Reaction score 29,675 Dec 26, 2013 #1 Jamani boxing day ndiyo imepita hivyo naona watu wanatoa mimacho tu,. Kama hukubahatika kupata zawadi siku ya jana ambayo ulitakiwa kuifungua siku ya leo unaweza kufungua hata mlango,..
Jamani boxing day ndiyo imepita hivyo naona watu wanatoa mimacho tu,. Kama hukubahatika kupata zawadi siku ya jana ambayo ulitakiwa kuifungua siku ya leo unaweza kufungua hata mlango,..
Ladymasa JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 877 Reaction score 335 Dec 27, 2013 #2 Dah! haya bhana kama milango tumeanza nayo tangu asubuh mkuu