Hapo nilijitahidi kupunguza baadhi ya vitu nisije nikagundulika na watu wanaopita humu!
Kuna ndugu tayari walishauona huu uzi wakapiga stop na mimi nkaupotezea kabisaaaa!

Jamaaa yuko salama salminiiii,
Maisha yake yemenyooka like never before japo amekuwa na tatizo sana na wanawake.
Hawezi kukaa nao zaidi ya dakika hata tano, amekuwa katili sanaaa na hana huruma kabisa.