BOXER BM 150 INAHITAJIKA.

BOXER BM 150 INAHITAJIKA.

ISENUKA

Member
Joined
May 25, 2014
Posts
81
Reaction score
10
Natafuta pikipiki aina ya BOXER BM 150 iliyotumika muda mfupi na iwe haijaguswa injini kwa bei ya MILION MOJA. 1M. nitafute kwa 0686958013.
 
Mhhh....mm siitumii ina miezi 9 tangu inunuliwe, imetembea 6000 km (elfu 6 kilomita). Haijawahi pita kwa Fundi, imebadilishwa oil mara 5 basi.... Leta 1.9m nikupe mzigo
 
Natafuta pikipiki aina ya BOXER BM 150 iliyotumika muda mfupi na iwe haijaguswa injini kwa bei ya MILION MOJA. 1M. nitafute kwa 0686958013.
Muda mfupi unaanzia na kuishia wapi???
 
HUWEZI PATA BOXER ILIYOTUMIKA MUDA MFUPI KWA 1M...BOXA MAKINI KWA VIGEZO UNAVOTAKA WEWE NI KUANZIA 1.5M...CHINI YA HAPO JIANDAE NA REJECTS.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom