Hiyo phone imekuja ikiwa locked.haina ubovu wowote,kama kuna mteja yupo serious kununua tutaweza kwenda mpka sapna akain unlock na kuhakikisha mwenyewe kuwa simu ni nzima kabisaa!!! Ku unlock peke yake ni $120..ipo kwenye condition nzuri kabisa kama mpya tu
Iyo ni IPHONE 4s sema box bi tofauti tu maana NILIAGIZIA KUTOKA EBAY.COM so wakatuma hivyo,
Ngoja nita upload baadhi ya pics ya simu yenyewe kama mtu anajua tofauti kati ya 4 na 4s basi ata notice
Iyo ni IPHONE 4s sema box bi tofauti tu maana NILIAGIZIA KUTOKA EBAY.COM so wakatuma hivyo,
Ngoja nita upload baadhi ya pics ya simu yenyewe kama mtu anajua tofauti kati ya 4 na 4s basi ata notice