Bouncer

Mbona mdada wa kawaida tu hujaona mabouncer wenyewe

 
kawaida vipi? wewe utaweza pasua njia katikati ya makachero wa TZ!!!!!?
 
Mbona mdada wa kawaida tu hujaona mabouncer wenyewe

not bouncer in a sense of being huge and scary...ni baunsa kwa kukatiza katika msitu wa FFU kazini and yet remain untouched!!
 
Huo nidiyo ubora wetu na ndiyo uerevu tuliyobakia nao kunyanyasa madem!! wanyonge
 
Hayo yalimshinda Samsoni hao vidampa watayaweza. Sana sana hapo wanashanga mkanda wa kiuno huku wanatupa ndoano kutahamaki Mbeijing ameshakatiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…