Na bounce back na part,
sipaki basi naenda kati,
napanda chart naround,
nahustle niget pound,
na showdown na punch za crown,
naflowdown like the shawncow me ni master,
mic nakamata napochana,
sin'gati me na nata,
narun nakwenda juu bila kushine,
naflow tu kwa stail like number9,
niko high sishuki chini,
si mind wanapodiss nasmile,
its okay for me,
younger like the YKB,
naepushwa na majanga,
na sir god ananibless,
no stress no Drama ni mwendo nyama na pepsi,
Navua vest nikiwa na mtoto mzuri babyface,
na drive long road,
na_bounce Back again nikiwa home,
naflow hard naflow my way,
siflow short siflow bila pay,
napanga punch zangu like double j,
ukiingia anga zangu you better pray,