Bottle steriliser

Blee

Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
39
Reaction score
4
50, 000/=

0654 796047
0625 645166
 
Attachments

  • 20160813_132013.jpg
    45.8 KB · Views: 32
Nawe si unifahamishe ni kidudumtu gani hicho kinauzwa hapa??
babu hiyo ni mashine ya kuua vijidudu hasa kwenye chupa za watoto wadogo .. unaosha ukimaliza uanziweka humo inaua vidudu inatumia umeme
 
babu hiyo ni mashine ya kuua vijidudu hasa kwenye chupa za watoto wadogo .. unaosha ukimaliza uanziweka humo inaua vidudu inatumia umeme
Ah basi kumbe hainihuuu.... mi nasafishaga chupa za bia tu baaaas
 
Napatikana gongo la mboto, zinaingia chupa nane hadi kumi
 
Nitafute kwenye simu kama unahitaji miss chagga
 
Napatikana gongo la mboto, zinaingia chupa kumi na kuendelea, nitafute kwenye simu kama unahitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…