Poise JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 7,660 Reaction score 7,948 Jan 19, 2018 #501 uporo wa wali ndondo said: Click to expand... uporo wa wali ndondo Mkuu, Heshima yako mkuu. Haa haaa haaa haa . Naomba ruhusu kutumia hii picha ya Mr. Trumpeter kama avatar .. Naomba kuwasilisha.
uporo wa wali ndondo said: Click to expand... uporo wa wali ndondo Mkuu, Heshima yako mkuu. Haa haaa haaa haa . Naomba ruhusu kutumia hii picha ya Mr. Trumpeter kama avatar .. Naomba kuwasilisha.
uporo wa wali ndondo JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,454 Reaction score 2,244 Jan 19, 2018 #502 Poise said: uporo wa wali ndondo Mkuu, Heshima yako mkuu. Haa haaa haaa haa . Naomba ruhusu kutumia hii picha ya Mr. Trumpeter kama avatar .. Naomba kuwasilisha. Click to expand... Tumia tuu mkui hii ni ya chawote
Poise said: uporo wa wali ndondo Mkuu, Heshima yako mkuu. Haa haaa haaa haa . Naomba ruhusu kutumia hii picha ya Mr. Trumpeter kama avatar .. Naomba kuwasilisha. Click to expand... Tumia tuu mkui hii ni ya chawote
C Chidu Mangalili Senior Member Joined Mar 24, 2017 Posts 144 Reaction score 96 Jan 19, 2018 #503 Hivi mnaowaabudu wazungu mnawaiba kuwa na mini cha ziada? Mali,nchi shwari,utu na ubinadamu,ustaarabu,uhuru?. Hebu orodhesha kubora wamzungu dhidi ya mweusi.
Hivi mnaowaabudu wazungu mnawaiba kuwa na mini cha ziada? Mali,nchi shwari,utu na ubinadamu,ustaarabu,uhuru?. Hebu orodhesha kubora wamzungu dhidi ya mweusi.
Poise JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 7,660 Reaction score 7,948 Jan 19, 2018 #504 uporo wa wali ndondo said: Tumia tuu mkui hii ni ya chawote Click to expand... uporo wa wali ndondo Mkuu, Asante nimeiweka mkuu. Huyo chakubanga Trump a.k.a trumpeter also called trumpets siwezi kumuacha salama kabisa.
uporo wa wali ndondo said: Tumia tuu mkui hii ni ya chawote Click to expand... uporo wa wali ndondo Mkuu, Asante nimeiweka mkuu. Huyo chakubanga Trump a.k.a trumpeter also called trumpets siwezi kumuacha salama kabisa.
uporo wa wali ndondo JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,454 Reaction score 2,244 Jan 19, 2018 #505 Poise said: uporo wa wali ndondo Mkuu, Asante nimeiweka mkuu. Huyo chakubanga Trump a.k.a trumpeter also called trumpets siwezi kumuacha salama kabisa. Click to expand... Huyu mzee pumbavu sana.
Poise said: uporo wa wali ndondo Mkuu, Asante nimeiweka mkuu. Huyo chakubanga Trump a.k.a trumpeter also called trumpets siwezi kumuacha salama kabisa. Click to expand... Huyu mzee pumbavu sana.
kirikou1 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 4,816 Reaction score 6,531 Jan 20, 2018 #506 BAK said: Siyo kwamba yamemuishia Mkuu hajawahi kuwa nayo maneno ya ushawishi. Yeye ni chuki za kutisha, kufoka foka kuweka mikwara, visasi na kudharau taasisi mbali mbali za Serikali. Click to expand... chizi kapewa rungu😀
BAK said: Siyo kwamba yamemuishia Mkuu hajawahi kuwa nayo maneno ya ushawishi. Yeye ni chuki za kutisha, kufoka foka kuweka mikwara, visasi na kudharau taasisi mbali mbali za Serikali. Click to expand... chizi kapewa rungu😀
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,331 Jan 20, 2018 #507 Kabisa Mkuu. kirikou1 said: chizi kapewa rungu😀 Click to expand...