hatujaua kwetu mkuu,no place like home,japokuwa siasa za nyumbani zinakatisha tamaa lakini hakuna jinsi
Wakuu
hali imebadilika na sasa hapa Botswana wageni hasa wafanya biashara wenye makampuni na wafanya kazi wanaofanya serikalini na makampuni binafsi wameanza kufungasha virago baada ya mambo kubadilika ghafla,serikali ya hapa imeleta sera mpya inayobana wageni kiasi kwamba ukiwa mgini huwezi kabisa kufanya biashara,hilo limewafanya wengi washindwe kuishi hapa baada ya kuonekana serikali inaleta standard ya Europe,
baada ya kuwanyima wageni wengi permit za kuishi na kufanya kazi sasa wameanza kulazimisha makampuni ya wageni kutopewa kazi na tunakoelekea sasa hivi ni kufungasha
tulifikiri wamelenga wakenya peke yao kwani kila mkenya aliyeomba permit alitolewa nje,sasa wamegeuza kibao na kuandama wageni wote ijapokuwa kwa watanzania wanalegeza kamba kidogo
ndugu zangu tunarudi nyumbani tujenge taifa letu,hayo maneno nimewaambia waswana na kuwahakikishia kuwa watakuja juta kwani hawa watu bado ni immature
tunarejea nyumbani tukiamini mtatupokea baada ya kuishi nje ya nchi yetu kwa miaka ming,mimi binafsi nimeishi botswana miaka 12 sasa
tunaamini siasa za tanzania hazitatuvunja moyo kwani tunakuja ku share skill na life education kwa ujumla tuliyoipata huko nje
tunaamini serikali itagundua uwezo mkubwa tulio nao na kututumia tuweze kuendeleza nchi yetu
tulifikiri wamelenga wakenya peke yao kwani kila mkenya aliyeomba permit alitolewa nje,sasa wamegeuza kibao na kuandama wageni wote ijapokuwa kwa watanzania wanalegeza kamba kidogo
ndugu zangu tunarudi nyumbani tujenge taifa letu,hayo maneno nimewaambia waswana na kuwahakikishia kuwa watakuja juta kwani hawa watu bado ni immature
Ndo mje tuungane kubadilisha hali ya kisiasa nchini mwetu! waachieni nchi yao hao Makirikiri!
Hayo mekundu sijui!!...........tunakuja ku share skill na life education kwa ujumla tuliyoipata huko nje
tunaamini serikali itagundua uwezo mkubwa tulio nao na kututumia tuweze kuendeleza nchi yetu
malisho ya kijani yapo mengi mkuu!sasa madaktari wetu wataenda wapi, manake wengi walitegemea wangeenda botwana...jamani mbona madili ya watu yanavurugika hivi?
Ninavyoijua Tswana,ujuzi wa kutuletea TZ huna,hata biashara tofauti na zilizoko TZ ua ya kipekee hauna,hata fedha hauna,ukija huku utaanza moja bora ujaribu huko South Sudan unaweza kutoka kwani wanahitaji watu kama nyie mnaopenda kuwatumikia wengine zaidi ya ulikotoka.huku TZ nina uhakika utachanganyikiwa tu ukiona kinachoendelea huku watu hawategemei mishahara 100%,supermarket kama Tswana kila mtu anakajisehemu kake ka kumuongezea maisha,hiyo miaka 12 uliyopoteza huko bondeni utaijutia maishani kwako.Wakuu hali imebadilika na sasa hapa Botswana wageni hasa wafanya biashara wenye makampuni na wafanya kazi wanaofanya serikalini na makampuni binafsi wameanza kufungasha virago baada ya mambo kubadilika ghafla,serikali ya hapa imeleta sera mpya inayobana wageni kiasi kwamba ukiwa mgini huwezi kabisa kufanya biashara,hilo limewafanya wengi washindwe kuishi hapa baada ya kuonekana serikali inaleta standard ya Europe, baada ya kuwanyima wageni wengi permit za kuishi na kufanya kazi sasa wameanza kulazimisha makampuni ya wageni kutopewa kazi na tunakoelekea sasa hivi ni kufungasha tulifikiri wamelenga wakenya peke yao kwani kila mkenya aliyeomba permit alitolewa nje,sasa wamegeuza kibao na kuandama wageni wote ijapokuwa kwa watanzania wanalegeza kamba kidogo ndugu zangu tunarudi nyumbani tujenge taifa letu,hayo maneno nimewaambia waswana na kuwahakikishia kuwa watakuja juta kwani hawa watu bado ni immature tunarejea nyumbani tukiamini mtatupokea baada ya kuishi nje ya nchi yetu kwa miaka ming,mimi binafsi nimeishi botswana miaka 12 sasa tunaamini siasa za tanzania hazitatuvunja moyo kwani tunakuja ku share skill na life education kwa ujumla tuliyoipata huko nje tunaamini serikali itagundua uwezo mkubwa tulio nao na kututumia tuweze kuendeleza nchi yetu