Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 133
mbona boti zipo zaidi ya tano?Boti tano zenye silaha zinazoaminika kuwa za Jeshi la Iran zimejaribu leo kuikamata meli ya mafuta ya Uingereza katika eneo la Ghuba bila mafanikio, Shirika la Utangazaji la CNN limeripoti likiwanukuu maafisa wawili wa Marekani wakisema kuwa meli hiyo ya Uingereza ilikuwa ikiingia katika mlango bahari wa Hormuz wakati boti tano zilipoikaribia na kuiamuru kusimama katika mipaka ya Bahari ya Iran, Hata hivyo, meli ya kivita ya Uingereza iliyokuwa ikiisindikiza meli hiyo ya mafuta ilitishia kuzishambulia boti za Iran na kuziamuru kuondoka, Kisa hicho kinajiri siku chache tangu Uingereza ilipoikamata meli ya mafuta ya Iran katika eneo la Gibraltar kwa madai ya kukiuka vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Syria, Tukio hilo lilizusha mzozo mkubwa wa kidiplomasia kati ya Iran na Uingereza na Iran ilitishia kuwa itakamata meli ya mafuta ya Uingereza kama hatua ya kulipa kisasi.
View attachment 1151225
chanzo:Mwananchi
Zenye silaha ni tanombona boti zipo zaidi ya tano?
Zingine za wazamiaji tu mkubwambona boti zipo zaidi ya tano?
Mhh .. Chai hii '' Mtoa mada tupatie link tukasome hii habari. .Iran hawawezi kuwa waoga kiasi hicho
Aah hao sindio wasambazaji propaganda za mabeberu...walituaminisha mambo mengi sana ya uongo kumu husu Gaddafi ''Ili tu ma bwana zao wapate kumtoa madarakani. ..So unadhani wataongea ukweli upi kuhusu iran. ..wakati unajua fika kuwa ni iran ni adui wa mabwana zao
Leta za ukweli kutoka upande wa piliAah hao sindio wasambazaji propaganda za mabeberu...walituaminisha mambo mengi sana ya uongo kumu husu Gaddafi ''Ili tu ma bwana zao wapate kumtoa madarakani. ..So unadhani wataongea ukweli upi kuhusu iran. ..wakati unajua fika kuwa ni iran ni adui wa mabwana zao
boti zinazoaminika kuwa za iran
ACHA UMBEA mtoto wa kiume.MV Dar es Salaam inaaminika kuwa ya Jeidabliyu kwa sasa
ACHA UMBEA mtoto wa kiume.
Leta za ukweli kutoka upande wa pili
Iran wamechemsha alafu wamedai kuwa Uingereza ni Wazushi na kuwa Boti za Iran zilikuwa kwenye Doria zake kama kawaida yao na wala hawakuisimamisha Meli ya UK... Sasa kama zilikuwa Doria why zilijaribu kuisimamisha hiyo meli na huku ikitoa tamko kuwa Marekani na Uingereza zitakuja kujutia kitendo cha kutekwa meli ya Iran... Nadhani wanamchezea Uingereza ambae hawajui kuwa ni Sleeping Giant... United Kingdom mambo ya utawala wa Dunia alishaachaga na sio kwamba hawezi tena Ile Damu ya Kifalme bado ipo watambue Iran anaona kuachwa achwa basi bichwa hilo..