Boti lilipozima ilibidi watu washuke kulisukuma (Vituko vya MV Kigamboni)

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,786
19,331
12744581_849341098510199_7830242681676900463_n.jpg
 
duh! Hapa tutailaumu serikali kweli? Sisi wananchi tunashindwa kuelewa kwamba panton imejaa? Long way to go!! for sure....
 
Jamani,aisee ya nini kuhatarisha maisha yao namna hii?assume ndo ingekuwa kwenye kina kirefu,leo tungesema mengine
 
Hakuna jasiri hapo. Wote waoga tu. Jamaa na mamiwani kawa namba wani kuchupia majini. Ungemnusa hapo kishaharibu hali ya hewa
 
Nimeangalia lakini sijaona hata mmoja aliye vaa lifejacket. Hata kama mapigo ya moyo yanakua juu sana ktk hali hiyo, lakini tusisahau hizo mambo.
 
Back
Top Bottom