Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Jiwe naye atafuata mkumbo tu maana ,kipindi kile alikuwa anatafuta sababu.
Dahhaha...wakenya kiboko...wanaiba wanalimbikiza mpaka sirikali inatikisika......ila ku na kauwezekano pia kenyata naye akawa anataka kuweka ka uso kake kwenye noti...naye ajipongeze kwa kazi nzito ya kuongoza taifa gumu...lenye nyang'au