figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,593
- 62,325
Akifanya hivyo mnakuja na habari nyingine tena. Muacheni apige kazi Mzee huyu. Mwe!It means Magufuli's head will neither appear in any printed note nor minted coin??
Pesa anazogawa rais Magufuli kwenye ziara, zimeidhinishwa? - JamiiForumsIt means Magufuli's head will neither appear in any printed note nor minted coin??
Mbona wanapiga blah blah tu...ndo maana tulisema kumtoa "mbishi" Prof.Ndulu na kumleta kondoo wa kafara Prof.Luoga ni hatua ya makusudi ya kuuzika uchumi wa nchiBank of Tanzania denies printing new Tanzania shilling notes to fund budget deficit
View attachment 863299
View attachment 863300
Au mitandao yote izimwe turudi enzi za ujimaAsante mitandao ya kijamii, maana bila tv,redio na magazeti bado serikali inatolewa jasho.
Naiasa serikali kuwa kushindana na teknolojia sawa na kufukuza upepo...
Serikali ikitaka kudhibiti taarifa hizi izuie smartphone kuuzwa Tanzania.
HAAAAAAAAAAAAAAAAA umenimaliza na kicheko mkuu ati nini ??????It means Magufuli's head will neither appear in any printed note nor minted coin??
kazi gani mkuu, kazi ya kutuambia tuzae kaa panya na ila hata shule bovu, ajira hamna na hata uchumi unaboromoka nini wewe sirAkifanya hivyo mnakuja na habari nyingine tena. Muacheni apige kazi Mzee huyu. Mwe!
kweli kabisa, this man hata sio mwana uchumi, hakuna banki unia inaongozwa na mtu ambae hajasomea uchumi kaa huyu wa bot, hii ilikuwa plan ya huyu magufuli sasa uchumi umeboromoka kabisa kakaMbona wanapiga blah blah tu...ndo maana tulisema kumtoa "mbishi" Prof.Ndulu na kumleta kondoo wa kafara Prof.Luoga ni hatua ya makusudi ya kuuzika uchumi wa nchi
Salama blazaMuda ndio msema mkweli.