Ndugu wanajamvi, kawaida BOT imekuwa ikitoa report ya mwenendo wa uchumi kila mwezi lakini chakushangaza baada ya uchumi kuyumba basi tangia Feb hawajatoa report yeyote ya mwenendo wa uchumi kwa mwezi FEB na March. Ukimya huu unaonyesha nchi inahali mbaya ya uchumi kiasi kwamba wanaogopa kuzitoa repot huska. Je kitendo hiki ni uungwana au?