BOT - Wamenoa meno sawa sawa

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,763
35,200
Wale wa taasisi za fedha kuanzia 2011 hadi sasa, tuwe tuliacha kazi, tulibadilisha kazi au bado tupo kazini tunahusika huku.

Hakuna kitu kizuri kama kufuata sheria, kanuni na taratibu. Maana usipozifuata sheria na taratibu bila shurti zitakuja kukuadhibu bila taarifa.

Maendeleo hayana vyama.
20210302_103000.jpg

Mungu ibariki tanzania
 
Kwa hiyo benki kuu imejivika jukumu la kuwa wakili wa hizo bank ambazo staff wao waliji-involve na hizo misconduct?

Hata kama lengo lao ni zuri lakini kwa bank kuu kujihusisha na hili moja kwa moja kunaonesha kuna msukumo wanaoupata toka mahali, wanataka hao watuhumiwa waka settle matter kwa DPP kama kawaida yao, wachukue mzigo wakafanyie mambo yao.

Binafsi ningependa hizo kesi ziende mahakamani, kila upande upeleke mashahidi wake mbivu na mbichi zikaamuliwe na hakimu, sitaki hao watuhumiwa waishie kukaa jela miaka kesi zikiitwa mahakamani upande wa mashtaka kila siku waseme uchunguzi bado unaendelea, huu ni uonevu.
 
Who were terminated....wengi huwa wanajiuzulu kwa manufaa yao na taasisi husika. Hata wale ambao wanakuwa terminated wengi wanafungua kesi wanashinda wanalipwa fidia then wanajiuzulu
 
Kwa hiyo benki kuu imejivika jukumu la kuwa wakili wa hizo bank ambazo staff wao waliji-involve na hizo misconduct?

Hata kama lengo lao ni zuri lakini kwa bank kuu kujihusisha na hili moja kwa moja kunaonesha kuna msukumo wanaoupata toka mahali, wanataka hao watuhumiwa waka settle matter kwa DPP kama kawaida yao, wachukue mzigo wakafanyie mambo yao.

Binafsi ningependa hizo kesi ziende mahakamani, kila upande upeleke mashahidi wake mbivu na mbichi zikaamuliwe na hakimu, sitaki hao watuhumiwa waishie kukaa jela miaka kesi zikiitwa mahakamani upande wa mashtaka kila siku waseme uchunguzi bado unaendelea, huu ni uonevu.
Mkuu benki kuu si ndio regulatory body ya benki nchini? Benki zenyewe huwa zinawatangaza wafanyakazi waliopiga magazetini.
 
Wale wa taasisi za fedha kuanzia 2011 hadi sasa, tuwe tuliacha kazi, tulibadilisha kazi au bado tupo kazini tunahusika huku.

Hakuna kitu kizuri kama kufuata sheria, kanuni na taratibu. Maana usipozifuata sheria na taratibu bila shurti zitakuja kukuadhibu bila taarifa.

Maendeleo hayana vyama.

Mungu ibariki tanzania
Kuna bank moja kule moshi. Kilimanjaro cooperative bank limited🤣
 
Hapa pagumu sana haswa ukizingatia sheria ni sheria tuu.
Sheria na taratibu zinaweza kuwa hazifuatwi wala kufuatiliwa na vyombo au pande husika, kwa muda na kwa makusudi lakini huwa haizeeki, hazifi wala kustaafu.

Maendeleo hayana vyama fundi25 upo wapi
 
Duu! Hapa ni hatari na nusu, waliopiga wajiandae kuzitapika!
Sa hivi Hamna makali tena kama wakati ule kabla mitano tena.

Sa hizi ndo hela inapigwa kwa kwenda front kuanzia RAIA no one mpaka karani,hakuna cha kupoteza ni muda Wa kujichotea sasa.
 
Back
Top Bottom