BOT waanza kuita interview

BOT waanza kuita interview

winky

Senior Member
Joined
May 8, 2013
Posts
140
Reaction score
111
hatimaye BOT waanza kuita kwa ajili ya interview.Ndugu yangu kapigiwa tayari kwenda kwenye interview.
 
Walitangaza nafasi za kazi kwenye chombo gani cha habari?
 
Hata mm nimepigiwa, mbona tangia last year walitangaza kaz nying sana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Hata mm nimepigiwa, mbona tangia last year walitangaza kaz nying sana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

kwani interview yao ni oral au written? Wamekuambia interview ni lini?
 
Simkatishi mtu tamaa ila hizo kazi tayari zina wenyewe ambao ni watoto wa vigogo.Kuitwa kwenu ni kukamilisha ratiba tu ili wasionekane wamevunja sheria ya ajira.
 
jamani kuna mtu ameitwa katika nafasi ya web developer III au database administrator
 
sasa ambao hatujaitwa hadi muda huu ndio basi tena au wanaendelea kuita?

Uncle unaitwa ila usikii,ebu tega sikio vizuri ondoka kwenye kelele hapo.mjomba BOT kuna wenyewe napajua nilipewa tempo pale mwaka 2006 enzi izo AIC alikuwa Liyumba, na mwenzake Project manager DDKweka. mimi mwenyewe nilishikwa mkono basi ila BALALI ndo aliharibu picha bosi akapigwa chini na mimi mwenyewe Chaliii
 
Back
Top Bottom