Applications zilikuwa maelfu na maelfu, wameona ni kazi ngumu sana kwao, na inasemekana mkulu wao Bwana Ndulu hataki ufisadi huo mnaousema wa kujuana hivyo wameamua kupeleka swala hilo Delloitte... vuteni subira sidhani kama kutakuwa na longolongo na hata zitakuwepo basi ni mdogo sana. NDulu hataki mchezo binafsi namuadmire sana huyu MZee Bot ya Kikwete imebadilika sio ile mnayoijua ni kazi na seriousness mtindo mmoja! Wakuu wa Mashirika ya Umma yote wangekuwa kama Ndulu nadhani tungesonga mbele sana. hasa haya mashirika ya MAfao!