MAJANGA NIACHE
Member
- Feb 21, 2012
- 95
- 6
Sitaki kukukatisha tamaa, lakini BoT kama hakuna wa kukupigia chapuo. Sahau na tafuta utaratibu mwengineHabari zenu wana jamvi?
Hivi zile nafasi zilizotangazagwa na BoT mwishoni mwa mwaka jana-2013 zimefikia wapi?
Hebu tujuzane wapendwa.
Natanguliza shukrani.
sio kweli mkuu....wapo wanaopata kawaida though inawezekana asilia kubwa ni chapuo...kikubwa uwe vizuri wenyewe wataona aibu kukuacha...pia Mungu akiandika kaandika...don't forget to remember that,mkuu..Sitaki kukukatisha tamaa, lakini BoT kama hakuna wa kukupigia chapuo. Sahau na tafuta utaratibu mwengine
bado mkuu,endelea kusubiri inaweza kuwa soon...Habari zenu wana jamvi?
Hivi zile nafasi zilizotangazagwa na BoT mwishoni mwa mwaka jana-2013 zimefikia wapi?
Hebu tujuzane wapendwa.
Natanguliza shukrani.
sio kweli mkuu....wapo wanaopata kawaida though inawezekana asilia kubwa ni chapuo...kikubwa uwe vizuri wenyewe wataona aibu kukuacha...pia Mungu akiandika kaandika...don't forget to remember that,mkuu..
INA MAANA WENGINE TUTAISHIA KULIONA KWA NJE TU...!!!!!Wastage of time waiting for such gabbage vacancies of BOT,Tanzania is totally corrupted,who knows you is a deal.
Tatizo wengi walioko pale msamiati uitwao 'Mungu' kwao ni adimu sana mkuu.sio kweli mkuu....wapo wanaopata kawaida though inawezekana asilia kubwa ni chapuo...kikubwa uwe vizuri wenyewe wataona aibu kukuacha...pia Mungu akiandika kaandika...don't forget to remember that,mkuu..
Hivi kuwaita hawa watu hili jina ni sahihi? au ungeliwaita jina lingine labda 'mafisadi', 'wakwepa sheria' nk, maana hilo linawapa hadhi wasiyostahili. Mtu mkubwa hutenda mambo mema.Nafasi sio za kila mtu bali ni za watoto wa wakubwa hizo.
INA MAANA WENGINE TUTAISHIA KULIONA KWA NJE TU...!!!!!
Tatizo wengi walioko pale msamiati uitwao 'Mungu' kwao ni adimu sana mkuu.
usifanye mchezo na nguvu za Mungu hata kama walioko hawamuamini anaweza kutenda hadi wenyewe wakashangaa wamekupaje kazi lkn ndo wanakuwa washakupa tena
Surelyusifanye mchezo na nguvu za Mungu hata kama walioko hawamuamini anaweza kutenda hadi wenyewe wakashangaa wamekupaje kazi lkn ndo wanakuwa washakupa tena