MWENDAKULIMA
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 951
- 357
Ni heri wabadilishe noti ya sh elfu kumi iwe ktk mfumo wa sarafu na sarafu ya sh 200 iwe ndo noti vivyo hivyo kwa noti ya sh elfu tano na elfu mbili natumai hapo uchakachuaji utakwisha.Kwa sababu haitakuwa rahisi kugushi sarafu ya sh elfu kumi na pia mtu hawezi kujiangaisha kwa ajili ya kugushi noti ya sh mia mbili. Ni mtazamo wangu.
Duh,Mkuu hii mpya.Lakini ulishawahi kusikia kuhusu shillingi mia za sarafu zilivyokuwa zinaghushiwa?