Nianze kuwapongeza BOT na CMSA jana kutoa tamko kuwataadhirisha wananchi na taasisi ya upatu ya D9 CLUB.
Kuna taasisi nyingine inajiita AMAZON TRADERS nayo inashika kasi ya ajabu. Ukiweka $1000 wanakupa $17 kila siku kwa mwaka mzima. Tunaomba taasisi husika kulitolea tamko na angalizo pia. Amazon traders wanapatikana kwenye website yao hapo chini.
Amazon Traders