Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Kwa habari nilizozipata ni kwamba BOT wana mpango wa kuja na noti mpya sh. 10,000.
Inasemekana hamna sababu ya wazi iliyotolewa ila wanataka kuweka 10,000
yenye picha ya Nyerere inayoonekana vizuri ukiachana na hii ya sasa ambayo Nyerere haonekani
mpaka uweke hiyo pesa kwenye mwanga.
Wageni wote karibuni Tanzania.
Kumbe siku hizi BOT wanafanya uchaguzi mkuu haya kwangu mageni kweli,twambie wanakuwa wanamchagua nani sasa.He makubwa haya!, kwani Picha ya Nyerere inahusiana vipi na ubora wa fedha, mpaka tuingie gharama kubwa kuchapisha manoti mapy?. AU WANATAFUTA PESA ZA UCHAGUZI MKUU?
Kwa habari nilizozipata ni kwamba BOT wana mpango wa kuja na noti mpya sh. 10,000.
Inasemekana hamna sababu ya wazi iliyotolewa ila wanataka kuweka 10,000
yenye picha ya Nyerere inayoonekana vizuri ukiachana na hii ya sasa ambayo Nyerere haonekani
mpaka uweke hiyo pesa kwenye mwanga.
Wageni wote karibuni Tanzania.
He makubwa haya!, kwani Picha ya Nyerere inahusiana vipi na ubora wa fedha, mpaka tuingie gharama kubwa kuchapisha manoti mapy?. AU WANATAFUTA PESA ZA UCHAGUZI MKUU?
Kwa habari nilizozipata ni kwamba BOT wana mpango wa kuja na noti mpya sh. 10,000.
Inasemekana hamna sababu ya wazi iliyotolewa ila wanataka kuweka 10,000
yenye picha ya Nyerere inayoonekana vizuri ukiachana na hii ya sasa ambayo Nyerere haonekani
mpaka uweke hiyo pesa kwenye mwanga.
Wageni wote karibuni Tanzania.
waweke buku teni ya sarafu iwe kubwa kama cd