Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Kwa habari nilizozipata ni kwamba BOT wana mpango wa kuja na noti mpya sh. 10,000.
Inasemekana hamna sababu ya wazi iliyotolewa ila wanataka kuweka 10,000 yenye picha ya Nyerere inayoonekana vizuri ukiachana na hii ya sasa ambayo Nyerere haonekani mpaka uweke hiyo pesa kwenye mwanga.
Wageni wote karibuni Tanzania.