Madudu ya watumishi hewa, uzembe kazini, upendeleo na matumizi mabaya ya fedha ni kila wizara tunayashuhudia. Je wanasubiri hadi rais awatembelee ndiyo wajirekebishe?Na mwisho amemuagiza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Beno Ndulu kupitia upya orodha ya wafanyakazi wa Benki hiyo, na kuwaondoa mara moja wale wote ambao hawana ulazima wa kuwa wafanyakazi katika benki hiyo
Ukiona kuna ghost workers ujue kuna wajanja wanafaidi ndio mana lilipuuziwaHawako serious..hawa ndo wanatikisa kiberiti...mda wote huo ambao tumekua tukitumbua majipu nyie mlikuwa mnafanya nin? Wafanyakazi hewa linahitaji ziara ya rais kutatuliwa?