BoT ichunguzeni Benki ya NMB inawanyonya wakopaji

I wish watu waamke wajue hii ni dunia ya dog eats another dog.
Upendo na huruma ni psychological manipulation ya kuliwa Ila hakuna something like upendo just illusion.

Bado na chui amuonee huruma mtt wa swala asimle Mana Mungu atamchoma Moto huko mbinguni.

Yaani ni kuwa unaliwa Kila mahala na Tena usipokuwa na maarifa Fulani ama pesa utaliwa na wanasiasa kwenye Kodi, wafanyabiashara,wakulima,wasomi watakukula tu hakuna namna,Kuna watu wa dini watakukula tu ,Kuna waganga wa kienyeji hao wote utakuwa mteja wao.
Utapata shida utaombewa ama utaenda kilingeni utaambiwa lips njoo na jogoo, ama toa zaka na sadaka ya shukrani na ilhali wewe umepewa maneno tupu na kuambiwa kuwa amini utapokea yasipokutokea utaambiwa kuwa huna Imani.

Watu wa dini no wajanja wanacheza na hisia ama emotions zako Kama sio ku play mind game.

Yeye akiwa na shida mtajichanga wote yaani mtanyonywa mpaka damu iishe utaambiwa padri anataka gari la 100M.
Mara mjenge shule ya kanisa Sasa jitoe hela ijengwe Halafu mpeleke pale mwanao upungue ada ule upendo unaohubiriwa hutoona.

Umeshawahi waona watawa wanavyokula chakula kizuri Wana magari yao Ila waumini wanakulaje,wanalalaje the same kwa wanasiasa.

Mtu wa dini anakutawala kuwa ukija kufa uje kuishi vizuri Ila mwanasiasa anakuambia atakupa Maisha mazuri hapa duniani
 
Nenda kafanye "top up" ndipo utaona watakacho kufanyia. Wakopaji wengi wanalamikia kuhusu Riba kuwa juu, Bima ya mkopo kuwa juu n.k.
Wananchi wanaumizwa sana, wafanyabiashara na hata watumishi ambao ndio wakopaji wakubwa kwwnye Benki hiyo.
Tatizo liko kwenye sector yote ya kibenki kuwa kuna tofauti kubwa kati ya interest mabenki yanayolipa savings za wananchi wanazozitumia kutoa mikopo na interest wanazowatoza wakopaji !
The range is just too big ; the BOT aught to rationalize this gap.
 
Yes, walinipa 6yrs nikagoma nikaomba 3yrs ili riba iwe ndogo na ilikuwa kwaajili ya ujenzi. Unajua hii serikali ukijenga bila mkopo wananza kukufatilia pesa unatoa wapi, hivyo nikaona niombe mkopo.
Ooh kumbe ungeweza kujenga tu bila mkopo na huo mkopo ni geresha ? Sasa nimeelewa 🙂
 
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa.

Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!!
Huu ni utapeli!!!!
Huu ni unyonyaji!!!!
Huu ni ukaushaji damu!!!!

Kisa mteja anashida ya kukopa basi ndio aadhibiwe kwa riba ya kukandamiza??

Wananchi tunaiomba BOT iichunguze hii Benki ya NMB, iangalie mikopo iliyotolewa kwa wateja na Riba wanazo watoza wakopaji je ni sahihi au sio sahihi.

NMB inawaumiza sana wakopaji, wizi mtupu.

Ndio maana tunauomba uongozi wa Benki Kuu (BoT) wakisaidiana na CAG wafanye uchunguzi wa kitaalamu kwenye taratibu za mikopo ya Banki hii ya NMB ili kuwanusuru Raia na Unyonyaji unao endelea.

Wananchi wanafahamu kuwa Bunge letu tukufu limeiagiza Serikali kupitia Wizara ya Fedha kufuatilia mikopo kausha damu kwenye taasisi zote za kifedha lkn tunaomba uchunguzi wa kina ufanywe kwa Benki hii ya NMB.
Hizo hesabu za wapi kiongozi mbona hazingii akilini
 
Mjomba tunaomba udhibitisho
 
Unataka bwana Heri achunguze Shamba la bwana Heri Alafu upewe Taarifa chanya?
 
Ndio maana tunauomba uongozi wa Benki Kuu (BoT) wakisaidiana na CAG wafanye uchunguzi wa kitaalamu kwenye taratibu za mikopo ya Banki hii ya NMB ili kuwanusuru Raia na Unyonyaji unao endelea.

Wananchi wanafahamu kuwa Bunge letu tukufu limeiagiza Serikali kupitia Wizara ya Fedha kufuatilia mikopo kausha damu kwenye taasisi zote za kifedha lkn tunaomba uchunguzi wa kina ufanywe kwa Benki hii ya NMB.
Hakuna hiki kitu,huwezi kopa 9million halafu ukalipa 80million,hata iwe umepewa miaka kumi.Na uhakika Taarifa yako ni ya uongo.
 
Hakuna hiki kitu kwa wewe Afisa mikopo lakini kwa wateja wanao kopa kuna kitu.

Ndio maana Bunge limeiagiza Serikali kupitia wizara ya Fedha/BoT/CAG kuchunguza mikopo inayotolewa na Riba zinazo tozwa.
Kunakitu hakipo sawa, kuna wizi na unuonyaji mkubwa.
 
Kama kuna Benki inayo wanyonya wakopaji basi Benki ya NMB inawakausha damu wananchi kisawasawa.

Inawezekanaje mtu anakopa milioni 9 analipa milioni 80 ?!!! Huu ni wiza wa mchana kweupe!!!!
Huu ni utapeli!!!!
Huu ni unyonyaji!!!!
Huu ni ukaushaji damu!!!!

Kisa mteja anashida ya kukopa basi ndio aadhibiwe kwa riba ya kukandamiza??

Wananchi tunaiomba BOT iichunguze hii Benki ya NMB, iangalie mikopo iliyotolewa kwa wateja na Riba wanazo watoza wakopaji je ni sahihi au sio sahihi.

NMB inawaumiza sana wakopaji, wizi mtupu.

Ndio maana tunauomba uongozi wa Benki Kuu (BoT) wakisaidiana na CAG wafanye uchunguzi wa kitaalamu kwenye taratibu za mikopo ya Banki hii ya NMB ili kuwanusuru Raia na Unyonyaji unao endelea.

Wananchi wanafahamu kuwa Bunge letu tukufu limeiagiza Serikali kupitia Wizara ya Fedha kufuatilia mikopo kausha damu kwenye taasisi zote za kifedha lkn tunaomba uchunguzi wa kina ufanywe kwa Benki hii ya NMB.
Ingekua vema time frame ifahamike ili tuone hiyo interest ikoje na makato kwa mwezi yakoje inline na mshahara wa huyo mtu.

Maana kuna taarifa haijakamilika ingawa kuna harufu ya.kutia shaka payback kubwa hivyo.
 
Mi simuhisi Mtu yeyote, nimetamani tu mil500,excuse you😓
Kuna siku nilikuambia kuhusu huyu bosslady ukafikiri nakutania, sasa umeamini
Mil 500 sio issue kwake, alafu ujje hadi unapewa hiyo pesa na bank maana yake dhamana zako ni za mabilioni

Siku ukiliona ghorofa alilojenga anapoishi utazimia🤭
 
Yuko vizuri sana sana aisee...si unajua Tena Kabila lake ndio linakimbiza mjini so lazima na yeye aende na speed yao...mwambie ninemmiss😁
 
Kuna wenzetu wamejipata sana, jana nimeonyeshwa miburungutu ya dola 100
Sema huwa hapendi nikisemaga hivi🤭

Sasa hivi mawasiliano yapo, so salamu zimefika kama zilivyo😂
 
Hebu mwambie dada yake bado sijajipata anichomolee hata Moja kwenye burungutu😅
 
Tunaomba mzipunguze hizi Loan company za online, nyingine ni za watapeli....Naomba mziwekee Sheria ya Kuziongoza na miongozo mizuri.
 
Waalimu wanapigwa sana. Hebu chukuwa mkopo wa 10m, utalipa kwa miaka 10, ila piga hesabu uone unakatwa ngapi!! Ni ukaushaji wa damu wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom