BoT ichunguzeni Benki ya NMB inawanyonya wakopaji

BoT ichunguzeni Benki ya NMB inawanyonya wakopaji

Ndio maana wananchi wanaiomba BoT ifanye uchunguzi wa kitaalamu wakishirikiana na ofisi ya BoT. Wapitie nyaraka za ukopeshaji.
This is capitalist economy usituletee habari za wananchi hapa eti sijui wanyonge kama alivowahi kuwaita Rais mmoja wa awamu flani basi mkawa mnashangilia, kama ulikubali terms and conditions mwenyewe ya nn kulialia hapa
 
Hujui top wa NMB ni graduates wa Udsm na kuna uzi wao humu jana umewekwa kuwasifu.

I just said, kuongoza banks hiz za ki africa, wala huhitaji degree. Unatakiwa kuwa mwiz mwiz tu unayejua kuiba kwa riba kandamizi. Hakuna hata akili 1 inayotakiwa kutumika
 
Pesa zinazokopeshwa na NMB au benki yoyote ile ni mali ya Depositors, si mali ya BOT au Serikali. Fikiria NMB wakukopeshe pesa za watu kwa miaka mitatu, Ikitokea wenye pesa zao wakataka kuzitoa kwa mkupuo kabla ya miaka mitatu....?? :xqcCheer:
 
Huyo alieleta malalamiko anatakiwa afunguke kuhusu vipi mkopo wa millioni 9 umfanye mkopaji alipe millioni 80?
Nenda kafanye "top up" ndipo utaona watakacho kufanyia. Wakopaji wengi wanalamikia kuhusu Riba kuwa juu, Bima ya mkopo kuwa juu n.k.
Wananchi wanaumizwa sana, wafanyabiashara na hata watumishi ambao ndio wakopaji wakubwa kwwnye Benki hiyo.
 
Back
Top Bottom