tzvicto.2014
New Member
- Sep 15, 2014
- 2
- 2
Wadau, hivi karibuni nimeshuhudia changamoto kubwa ya fedha za sarafu hasa za Tshs 200, 100 na 50.
Biashara nyingi sasa hivi ni ugomvi kutorudishiwa chenji kwasababu ya kutokuwepo na sarafu.
Binafsi nimefuatilia maduka makubwa hadi sasa yanadiriki kujaza pipi na big G kwenye madroo ya fedha ambazo hutumika kama chenji
Nimeshajaribu kuomba sarafu mabenki ila wao pia hawana
Je, BoT wanaweza kufafanua hii changamoto kulikoni?
Kusema kweli ni kero kwenda dukani na kurudishiwa pipi au big G ambazo mtu hauzihitaji.
BoT tufafanulieni hii changamoto ni kero kwa wananchi.